Wizara ya Ulinzi Uturuki: Tutaendeleza special operation kijeshi kaskazini mwa Iraq

Nasisi wanatuibiaje mkuu

Mkuu Sisi hata Wachina tu wanatuibia kila kukicha baharini
Samaki wanabebwa ile mbaya
Nakumbuka wale Pirates wa Somalia kuna wakati waliishika meli ya Wachina ina wafanyakazi 500 wanavua na kuwaamdaa samaki na kuwaweka kwenye makopo tayari kuuza
Yaani kiwanda ndani ya meli
Walikomeshwa na pirates ransom ilikuwa $40 m
Walisota miezi ndio hela ikalipwa

Sisi wanatupiga kiulaini sana kila sekta
 
Eeh Mungu ameilaani Tanzania yetu
 
Duh Iraq ile ya sadam ilikua inatisha.
Wote walikuwa na hofu juu yake so Saudia, Israel , uturuki Wala Iran. Lakini Iraq ya leo Ni shamba lA Bibi , Iran hujipigia, uturuki hujipigia, Israel hujipigia bila kusahau US happy ndo shamba la mama. Huvuna atakavyo.
Nb. Nchi za kiafrika tukatae kutumika na US Kama mipira ya ngono.
 
Kama hujatembea sio wote humu
Wewe huwa unaamini mpaka uone ama

Mimi huwa sibishani bali naweka facts whether you believe it or not is up to you
Hakuna wa kukulazimisha ila kwa Mimi nimetembea sana na Middle East nimekaa sana tangu vita ya Iran na Iraq na uvamizi pia wa Saddam
Sasa wewe mwenzangu ulikuwa wapi wakati huo?
Alikuwa hajazaliwa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom