VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,176
Kuhusu hifadhi ya barabara high way ni vyema wataalamu mlipanga japo mlikosea kuweka viwango sawa toka Dar hadi Kigoma, Mbeya, Mtwara nk
Tatizo la speed limit 50 kigezo kikubwa ni makazi ya watu. Binadamu wanatabia makazi kufuatia barabara na miondombinu.
Ushauri
-Mlipaswa kuondoa usumbufu miji na mipaka yake amabayo imeendelezwa say 80% road reserve iwe 30M.
-Viunga nje ya mji road reserve iwe mita say 100M.
Ili hoja makazi ya watu yawe mbali na high way risk kuruhisu mwendo zaidi speed 50. Tafadhali turekebishe sheria hii, vinginevyo taifa letu soon mwendo rasmi wa juu high way utakuwa 50 ama chini ya hapo.