Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Kwanini wanaweka picha kwenye social media kama hawataki kuwa public??? Poor reasoning capacityUnafikiri ni kila anayekuja anataka kuwekwa public?
Umesoma tu heading ukakurupuka kujibizana. Soma content nzimaUnafikiri ni kila anayekuja anataka kuwekwa public? Unafikiri wanakuja kufanya kazi ya kuitangaza Tanzania? Unajua kuwa zipo njia sahihi na za uhakika za kutangaza nchi?
World Class Celebrities should be handled accordinglyUnafikiri wanakuja kufanya kazi ya kuitangaza Tanzania? Unajua kuwa zipo njia sahihi na za uhakika za kutangaza nchi?
Nimesema hivi: Siyo kila anayekuja anataka uwepo wake ujulikane. Watu maarufu hutalii sehemu mbali mbali duniani na mara nyingine hufanya ziara za binafsi. Nikukutajia watu maarufu ambao wametalii Kenya mwaka jana bila watu kutangaziwa utashangaa. Pia Tanzania huwa wanatalii lakini mara nyingi hawataki watangazwe. Unacho-suggest wewe kitaleta matokeo kinyume.World Class Celebrities should be handled accordingly
Kwanini unang'ang'ania tu hao ambao hawataki kutangazwa? Vp wale ambao wanataka kutangazwa na wana-post mpaka kwenye social media accounts zao?Nimesema hivi: Siyo kila anayekuja anataka uwepo wake ujulikane. Watu maarufu hutalii sehemu mbali mbali duniani na mara nyingine hufanya ziara za binafsi. Nikukutajia watu maarufu ambao wametalii Kenya mwaka jana bila watu kutangaziwa utashangaa. Pia Tanzania huwa wanatalii lakini mara nyingi hawataki watangazwe. Unacho-suggest wewe kitaleta matokeo kinyume.
They need to change seriouslyBasata Hawa wakina Steve nyerere sjui Uwoya Mara wema wanawa dumaza mawazo yao!
Ova
Kwanza badala ya kubishana jieleze vizuri. Ukizungumzia ''customer care'' una maana ya huduma wanazopata. eg hotel nzuri na huduma bora. Kutembelewa na viongozi siyo big deal na usifikiri kila mtu anapenda kuonana na viongozi kama unavyofikiri. Anyways, ngoja niachane na wewe kwa sababu naona upeo wako kwenye haya mambo siyo mzuri.Kwanini unang'ang'ania tu hao ambao hawataki kutangazwa? Vp wale ambao wanataka kutangazwa na wana-post mpaka kwenye social media accounts zao?
Asante sana boss. Mimi thinking capacity yangu ipo chini sana ninajijua tangu zamani. It's my pleasure to meet you.ngoja niachane na wewe kwa sababu naona upeo wako kwenye haya mambo siyo mzuri.
Wote mpo sawa mkuu sema mnaongea katika angle tofauti. Unachokisema ni kweli maana kwa Tanzania ,utalii wetu haujaegemea kwa idadi ya watu bali quality yao na ndio maana unaweza kuona kuwa tunapokea wageni wachache lakini mapato ni makubwa. Kingine ni kweli pia Tz ni moja Kati ya tourism spot ambazo zinatembelewa na watu wakubwa duniani hasa wale wanaohitaji privacy hivyo, kufanya kinyume na unayoyasema ni sawa na kuwafukuza.Kwanza badala ya kubishana jieleze vizuri. Ukizungumzia ''customer care'' una maana ya huduma wanazopata. eg hotel nzuri na huduma bora. Kutembelewa na viongozi siyo big deal na usifikiri kila mtu anapenda kuonana na viongozi kama unavyofikiri. Anyways, ngoja niachane na wewe kwa sababu naona upeo wako kwenye haya mambo siyo mzuri.
Wao wizara kutangaza na kukuza utalii kimataifa wanafikiria kutumia ma Celebrity wa Ki-Bongo (ki-Kitaa), hawajiongezi kuwa karibu na watu wenye ushawishi duniani kote kwa kutumia lugha kubwa za kimataifa kiingereza/ kifaransa/spaniola/Mandarin, mapokezi , reviews etc
Kweli kbsa....They need to change seriously
Ingekuwa Kenya washatangaza sanaThey need to change seriously
Upo sahihi sana kaka mkubwa. Ila una kumbukumbu sana aisee. Hii post ni yangu ya zamani sana....Wizara ya Sanaa na Michezo inaweza kuwashawishi celebrities kutumia tarehe28 ya kila mwezi kutangaza vivutio vya nchi kupitia social media platforms
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Wizara ya Sanaa na Michezo inaweza kuwashawishi kwa ustaarabu celebrities wetu kutumia tarehe 28ya kila mwezi kutangaza vivutio vya nchi kupitia social.. Search results for query: Wizara kutumia celebrities tarehe 28 kila mwezi
Ila taratibu tu watabadilikaIngekuwa Kenya washatangaza sana
Ila Hawa basata kutwa Wana kwaruzana Mara dudubaya Mara amber rutty
Hawana ubunifu kabisa
Ova
Tuzidi tu kuwaombeaKweli kbsa....
Yaani wapo wapo
Ova
Angalau Dr. Hamisi Kigwangalla uzalendo aliuweka pembeni na kutumia fursa ya kongamano hili kuinadi Tanzania moja kwa moja kwa kutumia lugha kubwa ya kimataifa. Wengine waige amuzi hili ktk makongamano yote ya kimataifa iwe ndani ya nchi au nje.