Zawaa'diii !
Mi spendi mtu mzima anaejitoa fahamu ujue!
Ticha ndo kishakumwagia mimaksi kibweena!
Hapo ulikua uambue 40% but kakumwagia abt 95% !
Afu zawadi tena atoe yeye?
Kweli ?
"Eti mwl. Zawaadi" (huku umebana na pua! )
Unafikiri Mwl. Kalewa?
Huyu sio Mwl. Bishanga cha'pii! Huyu habugiagi !
Mtandaoni !
Kwakua hakuna wizara without waziri/katibu mkuu , kuna umuhimu tukawajua waongozao ministry hii.
Jibu sehemu b swali namba 8
najua linakuhusu moja kwa moja
Quiz 8 .
Faida/hasara ya kua na mpenzi mmoja.
- Kwanza nakiri linanihusu.
Majibu.
Mpenzi mmoja faida ukiugua miwaya hutafuti mchawi !
Faida nyingine pasua kichwa za wivu hutokua nazo.
Hasara ya mke mmoja, ni anajisahau, kiburi na love creativity inakua low.
SEHEMU A.
Jibu maswali yote
1. Nini maana ya Huba?
................... Mapenzi
2. Taja aina 2 za mapenzi.
........................ 1. ya dhati
.........................2. feki
3. Tofautisha kati ya busu na denda.
.........................busu ni juu kwa juu
.........................denda ni kuzama ndani zaidi
4. Eleza maana ya kupapasa.
................................kutomasa tomasa
5. Ni sehemu gani ya mwili ambayo haishikwi kabisa
wakati wa kufanya mapenzi?
..................................hakuna
SEHEMU B.
Jibu maswali 2 tu
6. Eleza hatua zinazo fuatwa kabla ya kufanya
mapenzi
7. Taja umuhimu wa kufanya mapenzi.
................... Kuongeza mwendo wa damu
...................Kupunguza mfadhaiko wa moyo
...................Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana
8. Taja faida na Hasara za kuwa na mpenzi mmoja
9. Eleza matatizo yatokanayo na kuachwa na mpenzi.
...............msongo wa mawazo
...................nawakilisha............
Hiyo ni fani kama fani nyingine kuna madarasa yake hata mimi sijahitimu bado naendelea na masomo.
na practical mnafanyaga huko darasani kwenu na kuna wanafunzi wangapi?
WIZARA YA MAPENZI NA MAFUNZO YA KUTONGOZA.
BARAZA LA MAHUSIANO LA TAIFA.
MTIHANI WA MAHABA.
MUDA:
Dakika 40
SEHEMU A.
Jibu maswali yote
1. Nini maana ya Huba?
2. Taja aina 2 za mapenzi.
3. Tofautisha kati ya busu na denda.
4. Eleza maana ya kupapasa.
5. Ni sehemu gani ya mwili ambayo haishikwi kabisa
wakati wa kufanya mapenzi?
SEHEMU B.
Jibu maswali 2 tu
6. Eleza hatua zinazo fuatwa kabla ya kufanya
mapenzi
7. Taja umuhimu wa kufanya mapenzi.
8. Taja faida na Hasara za kuwa na mpenzi mmoja
9. Eleza matatizo yatokanayo na kuachwa na mpenzi.
"NAKUTAKIA MTIHANI MWEMA.
Nipo busy nina wagonjwa wa Mashetani ninawatibiwa Hospitali wameshindwa kuwatibia vipi bibie Mamndenyi hujambo lakini? Nimekumiss vipi mwenzako Madame B mnazungumza vizuri siku hizi? mumeshapata lakini?MziziMkavu ulienda wapi jamani;
2014 imekuficha wapi?
Nilijua kipindi kumbe mtihani looh