Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Dadda'deck kumbe Li- Mamndenyi ni litaalamu libobeaji kihivi !
Ila Quiz 5 ndiyo niombe further explaination , unaposema "hakuna parts untourchable while game proceeding" una maana hata "Kabaang" ina play part gemuni si ndiyo?
Swali :- nini kinafanywa at a certain organ. (natumia lugha chotara kudalyuti ukali wa maneno , na si vinginevyo)
Ha ha haaa
haaaaa ha ha haaa
Umekimbia mtihani halafu unataka kuuliza maswali,
haaaa, mie ni mwanafunzi ngoja mwalimu Mzizimkavu aje na
majibu kwanza.
Yaani kwa kinywa kipana unasubutu kusema Li chief Jg like me , naweza umwaga kwenye vijiswalimboga kama hivi?
Fidifosi hawatumwi ambapo mapongo wa kawaida hawashindwa!
Mi nitajibu yale mtakayoboil .
Haaaa
Jibu hili hapa tuone
5. Ni sehemu gani ya mwili ambayo haishikwi kabisa
wakati wa kufanya mapenzi?
.............................. ....
Hongera bibie Umeshinda Mtihani wewe MamndenyiSEHEMU A.
Jibu maswali yote
1. Nini maana ya Huba?
................... Mapenzi
2. Taja aina 2 za mapenzi.
........................ 1. ya dhati
.........................2. feki
3. Tofautisha kati ya busu na denda.
.........................busu ni juu kwa juu
.........................denda ni kuzama ndani zaidi
4. Eleza maana ya kupapasa.
................................kutomasa tomasa
5. Ni sehemu gani ya mwili ambayo haishikwi kabisa
wakati wa kufanya mapenzi?
..................................hakuna
SEHEMU B.
Jibu maswali 2 tu
6. Eleza hatua zinazo fuatwa kabla ya kufanya
mapenzi
7. Taja umuhimu wa kufanya mapenzi.
................... Kuongeza mwendo wa damu
...................Kupunguza mfadhaiko wa moyo
...................Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana
8. Taja faida na Hasara za kuwa na mpenzi mmoja
9. Eleza matatizo yatokanayo na kuachwa na mpenzi.
...............msongo wa mawazo
...................nawakilisha............
SEHEMU A.

Ingekuwa mie ndo mwalimu ningekupa x
ngoja aje MziziMkavu atoe alama sahihi.
Hongera bibie Umeshinda Mtihani wewe Mamndenyi
Mtaala kautengeneza mwenyewe Mzizi mkavu!
Mtihani kautunga yeye!
Na marks atazitunga apendavyo!
Note : mie hata cha kumhonga sina!
Bora kwako anaweza kugaa na upwa!
MziziMkavu ndo kusema hakuna hata zawadi jamani mwalimu weyee.