Wizara ya Mambo ya nje tokeni mafichoni, tunataka taarifa

Ukraine wamekataa watu wasitoke Sumy kwenda Russia. Mayor wa Sumy kasema atakaetoka ni risasi tu.Poleni sana wanafunzi mlioko Sumy maana Ukraine inawatumia kama Shield.
MUONGO, kama ulivyokuwa unasambaza uongo Mbowe atafungwa kwa sababu ana laana ya kuchepuka.
 
Tunahitaji taarifa za mara kwa mara katika kipindi hiki kutoka Serikalini kupitia Wizara ya mambo ya nje @wizara_mambo_ya_nje_tz na Balozi zetu .

Tupeni taarifa watanzania na wanafunzi wakitanzania waliokuwa UKRAINE hadi sasa ni wangapi tayari wametoka nchi ya Ukraine aidha wapo Hungari , Poland , Romania au nchi yeyote za mpakani ni wangapi hadi sasa ?

Ni watanzania wangapi hadi sasa wapo njiani wameondoka kuelekea mipaka ya Poland, Hungari , Romania na kwingineko huko ili kurejeshwa nyumbani?

Ni watanzania wangapi ambao hadi sasa tayari wameletwa Tanzania ?

Ni watanzania wangapi hadi sasa bado wapo UKRAINE hawajaondoka ? .

Na vyema mtuambie jitahida gani zinaendelea ili kuwaondoa ?.Maana mmekaa kimya sana , mmejificha mno . Information is Power , taarifa ni muhimu sana hasa katika hiki kipindi.

@wizara_mambo_ya_nje_tz mlitoa taarifa kwamba kuna Safe Corridor, Safe Passage au humanitarian Corridor imetengenezwa ili Watanzania hasa walio kwama Sumy wapitie Urusi , ambapo walipaswa kuondoka tangu tar 5 Machi kuelekea Sudzha,eneo la Urusi ambapo watapewa msaada na Jeshi la Urusi kupelekwa Belgorod .

Ila taarifa ambazo tunazipata ni kwamba wanazuiwa Barabarani na vikosi vya UKRAINE yaani kuna Blockouts barabarani kuzuia sababu hata usafiri walinyimwa,hivyo hawajaondoka.Na hii sio kwa watanzania tuu hata Raia wa nchi zingine kama Nigeria,India ,Afika ya kusini na nchi zingine wote wanazuiwa hii Safe Corridor ya Urusi ila kuna nchi kama India imetafuta mbadala.

Nchi ya India imeelekeza Raia wake kupitia Poltava kuelekea Hungari , na Mafisa wa Ubalozi wa India wapo mji wa Poltava ili kuwapokea kuelekea Hungari na wanafunzi wao hivyo kuwarudisha nchini kwao. Serikali yetu kupitia wizara ya Mambo ya nje na Balozi zetu wapo kimya hawajatuambia ni mbadala upi ambao watanzania wenzetu wanapaswa kuchukua ili kuondoka na wanawasaidia namna gani .

Hii kazi ya kuwaondoa wahindi kutoka UKRAINE Serikali ya India wameipa jina Operation Ganga #OperationGanga . Na wanaifanya kwa weledi taarifa kila wakati , kuna Uratibu mzuri wanao , wanajua idadi ya watu wao walio Poland, Hungary, Romania na nchi zingine mpakani .

Wanajua idadi ya watu waliopelekwa India hadi sasa , wanajua Idadi ya watu wao waliokwama Sumy , na muda wote wanatoa taarifa, wao ndio walikuwa na Raia wengi UKRAINE.

Sisi watu wetu sio wengi sana kama wahindi hadi kushindwa kuratibu zoezi hili , tunashindwa toa taarifa , tunashindwa hata kutoa idadi ya waliopo Ukraine hasa Sumy, walio Poland, Romania na nchi zingine mpakani, hakuna taarifa wangapi wamerejea nchini .

Abdul Nondo.

Mwenyekiti wa Ngome ya vijana Taifa-ACT Wazalendo.View attachment 2142167View attachment 2142169
Waziri alikwisha toa taarifa kuwa wanawafuatilia kwa KARIBU wako salama, jambo la kushangaza Globel Education iliyowapeleka baadhi ya wanafunzi iliongea mara moja tu nayo ilikuwa kupanga nauli za ndege ya ATCL ambayo hakuna taarifa ilitokomea wapi! Na kama ilirudi ilirudi na watanzania wangapi! Mikakati ipo na WAFUATILIA KWA KARIBU.
 
MUONGO, kama ulivyokuwa unasambaza uongo Mbowe atafungwa kwa sababu ana laana ya kuchepuka.
Ni kweli .Wanatoka Sumy either kwenda Poland au Hungary. Mbowe katubu kaacha michepuko si unaona katoka kaenda direct kwa mkewe wa ndoa Dr Hilda Mtei Mbowe .
 
Tunahitaji taarifa za mara kwa mara katika kipindi hiki kutoka Serikalini kupitia Wizara ya mambo ya nje @wizara_mambo_ya_nje_tz na Balozi zetu .

Tupeni taarifa watanzania na wanafunzi wakitanzania waliokuwa UKRAINE hadi sasa ni wangapi tayari wametoka nchi ya Ukraine aidha wapo Hungari , Poland , Romania au nchi yeyote za mpakani ni wangapi hadi sasa ?

Ni watanzania wangapi hadi sasa wapo njiani wameondoka kuelekea mipaka ya Poland, Hungari , Romania na kwingineko huko ili kurejeshwa nyumbani?

Ni watanzania wangapi ambao hadi sasa tayari wameletwa Tanzania ?

Ni watanzania wangapi hadi sasa bado wapo UKRAINE hawajaondoka ? .

Na vyema mtuambie jitahida gani zinaendelea ili kuwaondoa ?.Maana mmekaa kimya sana , mmejificha mno . Information is Power , taarifa ni muhimu sana hasa katika hiki kipindi.

@wizara_mambo_ya_nje_tz mlitoa taarifa kwamba kuna Safe Corridor, Safe Passage au humanitarian Corridor imetengenezwa ili Watanzania hasa walio kwama Sumy wapitie Urusi , ambapo walipaswa kuondoka tangu tar 5 Machi kuelekea Sudzha,eneo la Urusi ambapo watapewa msaada na Jeshi la Urusi kupelekwa Belgorod .

Ila taarifa ambazo tunazipata ni kwamba wanazuiwa Barabarani na vikosi vya UKRAINE yaani kuna Blockouts barabarani kuzuia sababu hata usafiri walinyimwa,hivyo hawajaondoka.Na hii sio kwa watanzania tuu hata Raia wa nchi zingine kama Nigeria,India ,Afika ya kusini na nchi zingine wote wanazuiwa hii Safe Corridor ya Urusi ila kuna nchi kama India imetafuta mbadala.

Nchi ya India imeelekeza Raia wake kupitia Poltava kuelekea Hungari , na Mafisa wa Ubalozi wa India wapo mji wa Poltava ili kuwapokea kuelekea Hungari na wanafunzi wao hivyo kuwarudisha nchini kwao. Serikali yetu kupitia wizara ya Mambo ya nje na Balozi zetu wapo kimya hawajatuambia ni mbadala upi ambao watanzania wenzetu wanapaswa kuchukua ili kuondoka na wanawasaidia namna gani .

Hii kazi ya kuwaondoa wahindi kutoka UKRAINE Serikali ya India wameipa jina Operation Ganga #OperationGanga . Na wanaifanya kwa weledi taarifa kila wakati , kuna Uratibu mzuri wanao , wanajua idadi ya watu wao walio Poland, Hungary, Romania na nchi zingine mpakani .

Wanajua idadi ya watu waliopelekwa India hadi sasa , wanajua Idadi ya watu wao waliokwama Sumy , na muda wote wanatoa taarifa, wao ndio walikuwa na Raia wengi UKRAINE.

Sisi watu wetu sio wengi sana kama wahindi hadi kushindwa kuratibu zoezi hili , tunashindwa toa taarifa , tunashindwa hata kutoa idadi ya waliopo Ukraine hasa Sumy, walio Poland, Romania na nchi zingine mpakani, hakuna taarifa wangapi wamerejea nchini .

Abdul Nondo.

Mwenyekiti wa Ngome ya vijana Taifa-ACT Wazalendo.View attachment 2142167View attachment 2142169
Dogo ni mpuuzi sana, hana tofauti na kibaraka ZZK kutafuta kick. Do you really care kuhusu hao watanzania
 
Hiiiiii bagosha!

IMG_20220309_104731_713.jpg
 
Mama yupo huko anatumombea msaada tusaidiwe kupewa Msaada ticket za ndege za kubeba wa TZ tu

nchi ishafikia mwisho kufikiri kila jambo mpk msaada,hapo linasubriwa tamko la nchi fulani kusema litawachukua

wananchi wa Tanzania halafu utaskia viongozi watavyofurahia kama wameskia mgao wa pipi jojo,hamna kitu nchi

inaweza fanya tena kwa gharama zake binafsi,mahali popote patapo hitaji Pesa itolewe mambo yahairishwe Msaada

ndio kimbilio la Tanzania yetu, Haya na ykiwapata yakuwapata hao watanzania muombe tena msaada wa kuwarudsha huku..

Tanguu ni ijue siasa hamna uongozi unaotia hasira kama uongozi awamu ya 6 (uongozi wa MAMA) yani huko nyuma kulikua na madhaifu mengi tu lakini madhaifu ya Awamu ya 6, daah ni vile wananchi tumezuiwa kujichukulia sheria mikononi...

Maana nilikua naenda pale dodoma narusha chupa za soda kwa kila wazri ataeingia pale canteeen pasua pasua tu wote sion hata wakuacha...
 
Watanzania waliokuwepo Ukraine wamesaidiwa .Wapo waliopokewa Hungary na Poland na wafanyazi wa ubalozi uliopo Sweden na wengine wameingia Urusi.
Kuna lingine?Siasa za matukio huwa zinangoja matukio.Matukio yakipita wanatulia wanangoja matukio mapya.
 
Back
Top Bottom