Wizara ya mambo ya ndani na biashara ya dawa za kulevya ukweli uko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya mambo ya ndani na biashara ya dawa za kulevya ukweli uko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Jul 5, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nisaidieni kuziuliza mamlaka husika,miaka mingi sasa imeipita na sijawahi kusikia mamlaka husika zikitaja ni kiasi gani cha dawa za kulevya zimekamatwa hadi kufikia hii leo? Wasiwasi wangu ni huenda hizi dawa zinarudishwa sokoni na wajanja maana bidhaa nyingine zinatangazwa kwenda kuharibiwa lakini sijawahi sikia madawa ya kulevywa .kama wanayatunza yapo kiasi gani?
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Yaani uliwahi kuona wapi Polisi akitupa pesa. Loh
   
 3. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  thx
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuna yule jamaa alikutwa akitengeneza mandrax katika nyumba yake O'bay. Sijasikia tena kesi yake iliishia wapi. Tena kuna vijana wengi
  tu wamekamatwa Dar airport wakiingiza madawa hayo, lakini hatujasikia ni nani alifungwa muda gani jela.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Alikuwa akiitwa Nurdin Akasha link yake ilikuwa kubwa mpaka Kenya kama sikosei sijui kesi yake iliishia wapi. Pia kuna mtambo wa kutengeneza Noti bandia ulikamatwa O'bey enzi za Mkapa nao kesi yake sijui iliishia wapi?, yaani bongo bwana noma!
   
Loading...