Wizara ya Madini Mbeya huu ni uonevu uliopitiliza

JuniorGee

Senior Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
176
Reaction score
113
Habari wanajukwaa, Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika interview ya nafasi za wakaguzi wasaidizi- Mbeya zilizofanyika shule ya Msingi Sisimba Mbeya Mjini, Maswali yaliyoulizwa katika interview hiyo yalikuwa hayaendani na qualifications za walioitwa kwenye interview!

Qualifications za kuitwa kwenye interview zilikuwa ni cheti cha ugavi au uhasibu au cheti kutoka chuo cha madini lakini maswali yaliyoulizwa kwenye written interview yalikuwa kandamizi kwa hizi kada za ugavi na uhasibu.

Swali la kwanza lilikuwa la maelezo( linaeleweka sana kwa watahiniwa wa fani zote) likiwa na marks 20

Swali la lilikuwa na marks 60 ambalo lote ni calculation zinazotokana na Mining Act ikimaanisha kama hujawahi kuisoma Mining Act huwezi kulijibu( Watahiniwa wa fani ya ugavi na uhasibu hawajawahi kuisoma hii Act ktk mitaala yao vyuoni)
Swali la 3 na lenyewe ni calculation ambazo lazima usome Mining Act( marks 20)

Wanajukwaa, ukitazama vizuri kwenye andiko hili utaona kuwa marks 80 zote kama hujasoma na kuijua Mining Act hauwezi kujibu mtihani...Kiufupi mtihani huu ulikuwa unahitaji watu waliotoka chuo cha madini na sio waliosoma ugavi au uhasibu kama tangazo lilivyosema!

NB; Waliofanya interview hii Morogoro waliulizwa maswali yanayoendana na fani zao yani kama ni uhasibu utaulizwa kihasibu na ugavi utaulizwa maswali yanayoendana na ulichosoma chuoni!

Huu usanii uliofanywa Mbeya sio wa kiungwana, wahusika litazameni hili kwa jicho la tofauti
 
Kusomea fani isiyotaraji kuajiriwa inahitajika sasa.
 
Attachments

  • 20190617_094648.jpg
    20190617_094648.jpg
    182.1 KB · Views: 57

Kwenye kufanya interview haya Mambo zoea tuuu nothing to complain. Kuna a time Ngorongoro waliita watu kufanya usaili qualifications wakaweka geology, archeology, anthropology, botanist, then kwenye maswali watu wa geology wakalamba jiwe.

Swala lingine la kuzingatia, kwenye tangazo la kazi lazima lieleweke, ujue a, b, c. Kama walivoweka responsibilities za waajiriwa, ungesoma Mambo ya ushuru lazima ungeigusa mining act kidogo. Not too late, just learn and move on.
 
Yah na sisi tuliletewa hiyohiyo pepa wamebadilisha mkoa tu
 
Kwenye kufanya interview haya Mambo zoea tuuu nothing to complain. Kuna a time Ngorongoro waliita watu kufanya usaili qualifications wakaweka geology, archeology, anthropology, botanist, then kwenye maswali watu wa geology wakalamba jiwe.

Swala lingine la kuzingatia, kwenye tangazo la kazi lazima lieleweke, ujue a, b, c. Kama walivoweka responsibilities za waajiriwa, ungesoma Mambo ya ushuru lazima ungeigusa mining act kidogo. Not too late, just learn and move on.
Shukran mkuu
 
Hahahahahahahahaha sasa wewe unaingiaje kwenye intavyu bila kujiandaa asee alafu ukizingatia nafasi yenyewe ni ukaguzi wa madini?

Hapo hujaonewa wala nini. mazojms
 
Unalalama bure tu ungejiandaa vizuri yasingekukuta hata

Hivi unaendaje kwenye interview ya madini na haujasoma vitu mbali mbali kuhusu hilo eneo?Sasa kama wameita kada 4 unataka waulize maswali yanayohusu kada zote waache kuuliza vitu vinavyohusiana na position husika?

Next time ukienda kufanya interview yoyote make sure unasoma vitu mbali mbali vinavyohusu hilo eneo hasa sheria,kanuni,taratibu na miongozo mbali mbali.
 
Back
Top Bottom