Wizara ya Kilimo,Wizara ya Mifugo Kulikoni?

Wizara ya Kilimo,Wizara ya Mifugo Kulikoni?

Complex number

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
217
Reaction score
56
Habari jamani!
Naomba kuuliza kuhusu ajira kwa tulio hitimu mwaka jana kwenye vyuo vya kati(diploma na certificate-fani za mifugo na kilimo) za wizara tajwa kwenye kichwa cha habari. Kwa yoyote mwenye taarifa naomba anijuze kinachoendelea. Asante.
 
Back
Top Bottom