Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

Vijana vijana vijana!!!! Muda muaka umefika wa kuikomboa nchi yetu ccm imeshindwa kabisa kututengenezea mpango wa ajira sasa muda ni huu kuikataa ccm. Amkeni amkeni acheni kulala, kuchagua ccm lazima uwe na akili za maiti!.
 
Unadhani serikali inaweza ajiri kila anayehitaji ajira?

Inaonekana uko kimagamba magamba.

Watanzania hawajasema wanataka kuajiriwa. Ila watanzania wanahitaji tu kuondoa vikwazo wizarani.

Unakuta mtu anafuatilia kibali wizarani anadaiwa rushwa, sasa bado mtu hajaanza biashara je hela atatoa wapi.

Jinsi ya kupata ardhi, hakuna njia/taratibu zilizowazi za kupata ardhi. Ila tunasikia tu mwekezaji kapewa heka 1000, mara vigogo wanahodhi heka 2000

je kwa mtindo wa serikali ya rushwa, serikali isiyowajibika mtu ataweza kujiajiri?

Tumia akili kichwani, usiulize maswali ya kitoto
 
Nadhani leo watu wengi waliona kwenye matv na hata kwenye taarifa ya habari jinsi watu wengi walivyofurika kumuaga THE GREATEST KANUMBA
Naomba kusema wazi zaidi ya asilimia 70 ya watu waliokuwepo pale leader na makaburi ya kinondoni wengi ni jobless tukiondoa wale watu mashuhuri.
Asilimia kubwa ya vijana wako bila ajila hawana kazi kwahiyo msiba kama huu walikuwa hawana pa kwenda kama siyo kujazana pale leaders.
Naomba muliangalie hili kwa jicho la tatu na uono mpana ni wachache wangeacha kwenda kazini waende msibani ni wachache asilimia kubwa hawana kazi sasa kutokana na msiba kuwagusa na hawana pa kwenda wakaamua kwenda leaders kumuaga kipenzi chao.

Hii inawasha taa nyekundu kwa serikali zile ajira mlizohaidi milioni 1 mwaka 2005 ziko wapi????
Vijana wengi wako mitaani hawana ajira hawana cha kufanya wamekaa tu.
Hili ni bomu kama asemavyo bwana mamvi na soon litawalipukia kama hamtatengeneza ajira.

Je tunawezaje kutegeneza ajira
1.Tufufue viwanda vyote vilivyokufa na kuvianzisha upya zilashie kwa kiwango
Hapa ili kufanya mali zetu tutakazo zalisha zinunuliwe kwa wingi ni kupandisha kodi vitu vinavyotoka nje
2.Nilishakuja na post ya kilimo hapa jinsi kinavyo weza kutengeneza ajira kwa kuwapa mashamba makubwa wawekezaji wa ndani
3.Kuweka sheria kali kwa makampuni kutoa ajira nyingi kwa watz maana hata manager wa hoteli ni mkenya o mzungu
4.Kuanzisha mitaala ambayo itawajenga watz kuweza kujiajili wakimaliza masomo yao hii mitaala ianzie primary
Now vijana weng wanasoma kuajiliwa
5.Kuwekeza vizuri kwenye sayansi ya technology
.
mengine mtaongezea

Mwisho kabisa serikali pamoja na wizara ya afya kuweni creative kutengeneza ajira hili bomu linakuja soon

Mimi

Majanikv

Mapangoni
 
Back
Top Bottom