Wizara ya Katiba na Sheria yaomba kutumia jengo la UDOM kama ofisi

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616

Wizara ya katiba na sheria imetii agizo la Rais John Pombe Magufuli la kuzitaka wizara zote kuhamia mjini Dodoma ambapo tayari maofisa wa ngazi za juu wameshawasili na kuzindua jengo la ofisi katika eneo la chuo kikuu cha Dodoma ambalo shughuli zote za wizara hiyo zitafanyika hapo.

Chanzo: ITV
 
Uamuzi wa serikali kuhamia dodoma ulikuwa wa kukurupuka kama walikuwa bado hajajipanga wamekimbilia huko kutafuta sifa?
 
hii serikali inasumbua kila mtu inahangika hangaika kila siku na vitu cheap hadi kero
 
Huu ni uongo na watu wameingia kingi, yaani wizara ihamie leo halafu wakakosa sehemu ya kuhamia wakaelekea UDOM, kwani walikuwa hawajui kuwa hawana sehemu ya kufikia?Mleta habari endelea kuwafanya watz manyumbu.
Acha mahaba ya ccm
 
Back
Top Bottom