Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,075
- 2,316
Leo nimeenda kulipia kitu pale Wazara ya fedha. Cha ajabu bado wanapokea fedha kwa kutumia risiti za kawaida "exchequer receipt". Hii ni tofauti na agizo la serikali hiyohiyo kuwa risiti zote zitolewe kwa kutumia EFD machine. Wizara ya fedha ndio wasimamizi wakuu wa utaratibu wa upokeaji wa malipo ya serikali. Je, ni ukiukaji au kiburi.