Wizara ya Ardhi, ikiwa Wizi na Utapeli huu umefanyika kwa kutumia Hati halali ya Wizara ya Ardhi, Je ni Mwananchi yupi atakayewaamini?

Wizara ya Ardhi, ikiwa Wizi na Utapeli huu umefanyika kwa kutumia Hati halali ya Wizara ya Ardhi, Je ni Mwananchi yupi atakayewaamini?

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Wizara ya Ardhi, ikiwa wizi na utapeli wa Viwanja na Nyumba kwa kutumia Hati halalali ya Wizara ya Ardhi Tanzania unafanikiwa, je ni Mwananchi yupi atakayewaamini?

Tafsiri yake ni kuwa Hati yenu imenyewa

Imekuwaje mkakubali kutoa Hati batili?

Je Wizara mnapotenda makosa haya mnatengeneza picha gani kwa nchi na dunia?

Mamlaka za Serikali ndizo zinatakiwa kuwa legit kama sivyo basi nchi ipo kwenye hatari kubwa sana

Je mtachukua hatua gani kujisafisha?

Je mtachukua hatua gani kulinda hati yenu?

Hati inapofanikiwa kuingiliwa na wahalifu ni sawa na kuundwa fedha bandia za Tanzania !


View: https://www.facebook.com/share/v/1MYGv7Avdm/
 
Back
Top Bottom