Acha kupotosha watu. GPA zipoKwenye kutibu watu hakuna first class wala second class hzo znabakiga kwenye vyeti tu kuna watu ni mabingwa wakufanya surgery na vyeti wamegushi kuwazidi hta hao wenye 1class
Lengo lao ni vijana wengi wabaki mtaani amahili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano ikiongezwa Phy,math pamoja na language
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano ikiongezwa Phy,math pamoja na language