Wizara ya afya kuongeza qualification kwa kozi ya pharmacy

Joined
Aug 24, 2015
Posts
53
Reaction score
36
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano ikiongezwa Phy,math pamoja na language
 
Hii nchi elimu yake ya hovyo sana...hadi leo 2022 Diploma ya afya mtu anaenda kwa D D D kweli??
 
D za nini jamani,udahili uanze na C
Hakuna tofauti ya D na hiyo C unayoizungumzia ww kwa maana kwamba hta huyu alieipata hiyo D tayar pia amepass kama huyo mwenye C wote wamepass hayo mambo ya huyu ni kipanga huyu ni kilaza serikali inaamini wote wamepass na wanaweza kusoma pamoja
 
Nilowahi kusikia kwamba degree za afya hazinaga GPA,.Kwamba kuna pass tuu.anayefeli hapati cheti full stop.Hii kama ni kweli inamantiki,huwezi kuwa na first class ya kutibu watu na mwingine awe na pass
 
Kwenye kutibu watu hakuna first class wala second class hzo znabakiga kwenye vyeti tu kuna watu ni mabingwa wakufanya surgery na vyeti wamegushi kuwazidi hta hao wenye 1class
 
Huo utaratibu upo siku nyingi mbona course za afya wanaangalia ufaulu kwny physics na math angalau uwe na D ya kuangalia bios na chemistry tu utaratibu huyo ulishaisha Ina maana mtu ambaye hakusoma physics hawezi kuingia kwny afya
 
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano ikiongezwa Phy,math pamoja na language
Kisa nini physics imehusishwa wakati hata kama hukusoma Physics ulikuwa ukichagukiwa Kwa kuangalia D kwenye bios,chem na Math??
 
Hii nchi elimu yake ya hovyo sana...hadi leo 2022 Diploma ya afya mtu anaenda kwa D D D kweli??
Pharmacy ina vijana wengi sanaaaaa yani zaidi ya sanaa chuo kimoja kinaweza kuwa na wanafunzi wa Pharmacy hadi 600 na wanapofikia kuhitimu wanakuwa wamepungua nusu au theluthi.

Na vigezo vyake ni vigumu kwa wengi, Nursing ina vigezo rahisi sana ila vyuo vina ukomo mfano mwisho wanafunzi 50 au 40.
 
Nilowahi kusikia kwamba degree za afya hazinaga GPA,.Kwamba kuna pass tuu.anayefeli hapati cheti full stop.Hii kama ni kweli inamantiki,huwezi kuwa na first class ya kutibu watu na mwingine awe na pass
Kumbe ulisikia
 
Huo utaratibu upo siku nyingi mbona course za afya wanaangalia ufaulu kwny physics na math angalau uwe na D ya kuangalia bios na chemistry tu utaratibu huyo ulishaisha Ina maana mtu ambaye hakusoma physics hawezi kuingia kwny afya
Pharmacy, ulikua unachukuliwa hata kama hujasoma physics
 
Kuwa na vigezo vya chini ni chanzo cha kuzalisha watalaamu wasio na uwezo mkubwa, vigezo vingekuwa ni C ina Bios,Chem,Phys afu Math ikawa D ingependeza sana.
Huwez amin utakuta mtu kaingia chuo na C zake anaburuzwa na kijana wa D zake safi.. kujituma pia kunahitajika hata uko vyuo kuna vipimo km mitihan ko wataenda sawa tu...
 
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano ikiongezwa Phy,math pamoja na language
Mabadiliko yote yanawekwa kwenye sekula husika kwa maandishi. Hivyo ni muhimu kuweka source vinginevyo taarifa hii ni tetesi.
 
Hakuna tofauti ya D na hiyo C unayoizungumzia ww kwa maana kwamba hta huyu alieipata hiyo D tayar pia amepass kama huyo mwenye C wote wamepass hayo mambo ya huyu ni kipanga huyu ni kilaza serikali inaamini wote wamepass na wanaweza kusoma pamoja
Sasa kama wamepass kwann isiache Tu D tatu ili wote wasome ...? Si wamefaulu
 
Pamoja Na Aina Ya Mitihani Tulionayo Nyakati Hizi !!! We're Are Not Serious !!!
 
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano ikiongezwa Phy,math pamoja na language
Safi sana. Hatuwezi kucheza na afya za watanzania. Tena hapo wangefanya maths na phy mtu awe na minimum C.
 
Back
Top Bottom