Wizara ya Afya ina hatarisha afya za watanzania

Kwa huyu jamaa concern ni family planning,
Family planning sio kutumia condom pekee, nishamjuza njia zingine ambazo ni salama
vipi kuhusu wanawake wenye ukavu kwa asili? Au waliovuka menopause? Au "wadau" mmepanga kuwasaidiaje?

Hapa sina hakika kama kweli mnakosa vilainishi na mnategemea KYL jelly pekee. Ivi mtu ambaye yupo kijijini na kwa asili ana ukavu, huwa anafanyaje kutimiza haja zao....! tunapaswa kufikiria hilo kabla ya kuanza kulalamika kuwa mnabaniwa vilainishi maana watu wa mjini ndio wanazijua KYL jelly kuliko watu wa vijijini.

Vitu vya kiasili vipo, tusiangazie vya kisasa pekee.
 
Kwa hiyo kwa taaluma yako ya afya unadhani kuwa hatua iliyochukuliwa itaondoa tatizo la ushoga? Au ni ku adhibu wasio husika wakati tatizolikiwa pale pale.

Pili nyie watu wa afya ndo mliotupatia option ya kutumia condom kwa ajili ya kuzuia mimba..kwa hiyo leo mna ikana?

Condom za kisasa siku hizi zinawekewa mafuta/vilainishi maalum, sijajua wewe huwa unatumia Condom gani ambazo ni kavu hadi uanze kutafuta vilainishi kwanza
 
Parachute sio best option. Nadhani olive oil ya massage inaweza kuwa mbadala
 
Family planning sio kutumia condom pekee, nishamjuza njia zingine ambazo ni salama

Hapa sina hakika kama kweli mnakosa vilainishi na mnategemea KYL jelly pekee. Ivi mtu ambaye yupo kijijini na kwa asili ana ukavu, huwa anafanyaje kutimiza haja zao....! tunapaswa kufikiria hilo kabla ya kuanza kulalamika kuwa mnabaniwa vilainishi maana watu wa mjini ndio wanazijua KYL jelly kuliko watu wa vijijini.

Vitu vya kiasili vipo, tusiangazie vya kisasa pekee.

Yaani wewe mtu wa medicine una-support kuondoa certified products kwa kusema "vitu vya asili vipo". Wangesema mbadala wa KY ni nini sio kupiga tu marufuku. On the point ya family planning, sio kila mtu anaweza withdraw method, na ila risk zake ni kubwa tu. Hilo la kalenda, inategemea na mwanamke kama ana mzunguko wa kawaida na unaotabirika. Wanawake wengi wakikaribia menopause, mizunguko inakuwa haieleweki; kuna hatari sana ya mimba zisizotarajiwa.

Anyways, haya maamuzi hayakuwa based on science, yalikuwa ya kisiasa. Nani alifanya utafiti na kuja na hitimisho kwamba ushoga na KY zinakwenda pamoja. Kwamba ukiondoa KY ushoga utapungua. Ushoga ulikuwepo kabla ya KY, na utaendelea kuwa. Tunasababisha collateral damage bila kufikia lengo la kupambana na huo ushoga.
 
Kuna lubricants pale game nadhani kwenye counters za kulipia. Hizo KY mbona pharmacies kubwa zipo. Upo mji gani mkuu?
 
Hapa hakuna kitu. Wewe unapigana KY irudi ukaitumie kwa matumizi ya kifirauni tu. Ina maana wewe na mkeo nyote hamjui kuhesahu mzunguko na kujua siku salama na za hatari??

Unajua madhara ya mafuta ya condom na hayo mafuta ya KY kwa mwananamke na hata kwako??

Kwa nini msitumie njia za uzazi wa mpango za kiasili??
Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa kwa miaka 13. Tuna watoto 3, miaka 12, 7 na 2. Tuna active sex life lakini tumekuwa tukitumia condom kama njia ya kupanga uzazi na kwa kweli imetisaidia sana kwa kipindi chote hiki. Hivyo basi ndani kwetu huwa tuna weka box la condom na Tube ya KY. Kwa sababu tunatumia condom angalau mara 2 kwa mwezi tube ina moja tunaweza kuitumia mwaka mzima.

Tunatumia tube ili kuongeza utelezi maana mke wangu ni mkavu kiasi na kutumia condom bila kuongezea mafuta inakuwa karaha kwake.

Sasa jana nilipita dukani kutafuta tube ya KY maana tuliyokuwa nayo imeisha. Cha ajabu nimezunguka maduka yote ya pharmacy karibu yetu hakukuwa na KY Jelly.

Nilichoambiwa ni kwamba Wizara ilipiga marufuku kwa sababu eti zinatumiwa na wapenzi wa jinsia moja.

Hili jambo limenishangaza sana. Kwasababu.
1. Jelly hutumiwa na wapenzi wa jinsia zote hasa pale ambapo wanatumia condom. Kwa nini hawajawafikiria hawa wote ambao ni wengi?

2. Kuna wapenzi wa jinsia tofauti ambao pia wanatumia njia mbadala kufanya mapenzi, je hao wanalindwaje?

3. Kuondoa vilainishi ndo kutafanya watu waache kufanya mapenzi ya jinsia moja au inaweka kwenye hatari zaidi?

Nikajaribu kumuuliza msela wangu mmoja ambaye yeye ni mchepukaji mzuri...je anafanyaje? Akaniambia inabidi warumie mate. Sasa mate si ni hatari pia kwa afya hasa mwanamke? Maana mtu anaweza kuwa na maambukizi ya bakteria mdomoni halafu akamuambukiza mpenzi wake kwa njia ya mate. Nikajiuliza huwenda ndo maana magonjwa kama UTI kwa kina mama yameongezeka zaidi.

Kwa kweli hii ni hatari sana. Tunaomba wizara itengue haya maagizo na jelly ziendelee kuuzwa kama kawaida.
 
Kuna lubricants pale game nadhani kwenye counters za kulipia. Hizo KY mbona pharmacies kubwa zipo. Upo mji gani mkuu?
Umenunua lini mara ya mwisho?
 
Huna hata aibu kutueleza upuuzi wako hapa. Kwani huwezi njia mbadala ya kutumia kondom na ky?

Tumia withdrawal kwa siku za hatari.
 
Back
Top Bottom