Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Mwigulu Nchemba - Tunataka kiongozi siyo madevuTunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.
Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.
Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?
Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge
Wengine tujuzane
Samahani. Kwenye post yangu nilisahau elimu.Habari na michezo
Fedha
Afya
Sheria
Elimu
Bashungwa,Silinde,Byabato,Gwajima,Ndugulile,Mwigulu,Waitara,Molel ,na Jalalani,kwa ufupi mama ateue baraza jipya ili alilorithi walishaharibikiwa akili ya kufikiri ,badala ya jinsi gani ya kutatua matatizo wao bado wanafikra za kumtukuza binadamuTunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.
Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.
Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?
Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge
Wengine tujuzane
Huyu ni Professor?Kabudi arudi akafundishe wanafunzi tu, amelivuruga Taifa kwakutuaribia Diplomasia yetu. Leo Rais badala awaze kujenga na kusimamia miradi anakwenda kuzunguka Duniani kutuombea msamaha kwa matendo ya Kabudi.
Nchi ameidumaza Kama ulivyodumaa mkoa aliozaliwa. Tujifunze watu wakuwapa nafasi si kila profesa anajua chakufanya.
Mwiguli Nchemba kwa uchumi ulipo Sasa sidhani hata Kama anajua aanzie wapi, chamsingi anawaza tu uchaguzi 2025 nakuwakandamiza vijana wanaoonekana kukubalika.
Maliasili na Utalii Ndumbaro No. Sijui alipataje Uwaziri.
Mkuu,Samahani. Kwenye post yangu nilisahau elimu.
Elimu Ni shida, elimu imelemewa. 60 years after independence Kuna shule hazina madarasa. DAR chumba kimoja wsnakaa wanafunzi Mia mbili? Na waziri yupo. Tamisemi ipo.
We can't have a cabinet minister who can not form a simple sentence in English.
1. Joyce Ndalichako, elimuTunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.
Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.
Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?
Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge
Wengine tujuzane
Wizara zote ni mzigo hamna wanachofanya ni kujaza vyoo tu vya wizara. Hii nchi inaweza kabisa kujiendesha bila serikali hadi mfumo mzima ubadilike na hiki chama kiondoke milele.Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.
Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.
Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?
Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge
Wengine tujuzane
Damas Ndumbaro alipataje uwaziri,ubunifu zero!Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.