Wizara gani unadhani Waziri wake Ni Mzigo?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.

Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.

Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?

Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge

Wengine tujuzane
 
Mwigulu Nchemba - Tunataka kiongozi siyo madevu
 
1. Bashungwa
2. Fildi masho
3. Kalamaganda Kabugi
4. Yule anauehusika na umeme. Juzi kadanganya watu eti reli ya SGR imeisha kwa asilimia Mia moja wakati huo Niko Majumba sita naona kabisa hata tuta bado halijaandaliwa.
Halafu siku hizi umeme unakatika katika kuliko hata kipindi Cha Mkapa. Kuna mgao lkn hakuna taarifa wa wafalme yaani wateja especially mkoa wa Pwani.
5. Anaye husika na barabara hata jina sitaki kumjua. Kuna foleni kubwa sana kuanzia maili moja Kibaha Hadi Mwendapole lkn watu wamelala tu maofisini. Muda tunaotumia kutoka TANGA Hadi Mwendapole Ni sawa na muda tunaotumia kutoka Mwendapole Hadi Mbezi. A mere twenty kilometers.
 
Habari na michezo
Fedha
Afya
Sheria
Elimu
Samahani. Kwenye post yangu nilisahau elimu.
Elimu Ni shida, elimu imelemewa. 60 years after independence Kuna shule hazina madarasa. DAR chumba kimoja wsnakaa wanafunzi Mia mbili? Na waziri yupo. Tamisemi ipo.
We can't have a cabinet minister who can not form a simple sentence in English.
 
Kabudi arudi akafundishe wanafunzi tu, amelivuruga Taifa kwakutuaribia Diplomasia yetu. Leo Rais badala awaze kujenga na kusimamia miradi anakwenda kuzunguka Duniani kutuombea msamaha kwa matendo ya Kabudi.

Nchi ameidumaza Kama ulivyodumaa mkoa aliozaliwa. Tujifunze watu wakuwapa nafasi si kila profesa anajua chakufanya.

Mwiguli Nchemba kwa uchumi ulipo Sasa sidhani hata Kama anajua aanzie wapi, chamsingi anawaza tu uchaguzi 2025 nakuwakandamiza vijana wanaoonekana kukubalika.

Maliasili na Utalii Ndumbaro No. Sijui alipataje Uwaziri.
 
Ba
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.

Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.

Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?

Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge

Wengine tujuzane
Bashungwa,Silinde,Byabato,Gwajima,Ndugulile,Mwigulu,Waitara,Molel ,na Jalalani,kwa ufupi mama ateue baraza jipya ili alilorithi walishaharibikiwa akili ya kufikiri ,badala ya jinsi gani ya kutatua matatizo wao bado wanafikra za kumtukuza binadamu
 
Kabudi arudi akafundishe wanafunzi tu, amelivuruga Taifa kwakutuaribia Diplomasia yetu. Leo Rais badala awaze kujenga na kusimamia miradi anakwenda kuzunguka Duniani kutuombea msamaha kwa matendo ya Kabudi.

Nchi ameidumaza Kama ulivyodumaa mkoa aliozaliwa. Tujifunze watu wakuwapa nafasi si kila profesa anajua chakufanya.

Mwiguli Nchemba kwa uchumi ulipo Sasa sidhani hata Kama anajua aanzie wapi, chamsingi anawaza tu uchaguzi 2025 nakuwakandamiza vijana wanaoonekana kukubalika.

Maliasili na Utalii Ndumbaro No. Sijui alipataje Uwaziri.
Huyu ni Professor?
 
Kabudi
Ndumbaro ..
Jesta mhagama

Hawa Rais atimue woote Kwa haraka sana
 
Samahani. Kwenye post yangu nilisahau elimu.
Elimu Ni shida, elimu imelemewa. 60 years after independence Kuna shule hazina madarasa. DAR chumba kimoja wsnakaa wanafunzi Mia mbili? Na waziri yupo. Tamisemi ipo.
We can't have a cabinet minister who can not form a simple sentence in English.
Mkuu,
We have a cabinet minister called Jalalani is a Proffessor ,certainly he knows English ,but has proved to be one of the kituko since indepence.
 
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.

Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.

Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?

Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge

Wengine tujuzane
1. Joyce Ndalichako, elimu
2. Doto biteko, madini
3. Dorothy Gwajima, afya
4. Godwin Mollel, naibu waziri afya
 
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.

Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.

Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?

Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge

Wengine tujuzane
Wizara zote ni mzigo hamna wanachofanya ni kujaza vyoo tu vya wizara. Hii nchi inaweza kabisa kujiendesha bila serikali hadi mfumo mzima ubadilike na hiki chama kiondoke milele.
 
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.

Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko anavyoendesha mambo kwa propaganda na kujionyesha yeye tu ndo kasoma.

Lakini nimwombe pia mdogo wangu Waitara aache au apunguze glass, awe serious akijua asipojirekebisha atakwenda kukalia benchi. Ameaminiwa na Mhe. Rais anashindwaje kuhifadhi hadhi aliyopewa?

Kitila Mkumbo namshauri atenganishe ualimu na Uwaziri, aondoke kwenye theory aje kwenye practical. Uvumbuzi utamsaidia la sivyo abaki mbunge

Wengine tujuzane
Damas Ndumbaro alipataje uwaziri,ubunifu zero!
 
PM, ni mwongo. Alilitangazia Taifa kuwa marehemu yu mzima wa afya, anachapa kazi Ikulu wakati marehemu alikuwa mahtuti akipigania uhai wake.

Hatutakiwi kuwa na viongozi waongo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom