iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Wizara tano zimeweka ofisi zake chuo kikuu cha
Hii imeleta muingiliano mkubwa kati ya shughuli za elimu na masuala ya ofisi za wizara hizo hivyo kupunguza utulivu wa kimasomo.
Wazazi wanahofia watumishi hao ambao wamehamia bila familia zao kwamba wanaweza kuanzia kushawishi mabinti zao wanaosoma hapo ili kukidhi haja zao.
Hofu hii pia inagusa wanandoa ambao wameacha wenza wao Dar ea salaam,ambapo wanadhani waume zao sasa watamalizia mshahara vyuoni hapo na kusahau majukumu yao
ANGALIZO:
Wadau wa elimu tufuatilie kama UDOM watapunguza udahili wa wanafunzi mwaka huu ili majengo yatumiwe na wizara
Je. Wizara hizo zinalipa kodi ya kutumia majengo? Tsh ngapi kwa mwezi,na wanamlipa nani kwa MKATABA upi