VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Mabadiliko haya,yanapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa watoto kukaa darasani. Kutoka saa tatu,sasa hivi wanafunzi wa asubuhi,wataingia darasani saa mbili. Watatoka saa tano na nusu,kwa ajili ya chakula cha mchana,na kupitiliza kwenda nyumbani.
Hapo hapo,wa kutwa,wataingia saa saba na nusu mpaka saa kumi na nusu. Kwa kifupi,watakuwa wanasoma 3h30' kwa siku.
Janga la taifa hili.
Hapo hapo,wa kutwa,wataingia saa saba na nusu mpaka saa kumi na nusu. Kwa kifupi,watakuwa wanasoma 3h30' kwa siku.
Janga la taifa hili.