Huyo dadako kaolewa?
Sio wanaume tu aisee.....mimi dada yangu alikuwa yupo very strict ukitaka kukosana nae milele akuone au akusikie unanizengea....utajutraaa.....alikuwa mkali kiasi kwamba mpaka utu uzima huu sina ujasiri kujionyesha mbele yake kwamba nna mahusiano na mtu anaitwa mwanaume....tutapiga stori zote lakini tukifika kwenye mahusiano napata kigugumizi