Wivu wa design hii katika mapenzi ni hasara tupu.

mmmmm wivu wa nini huyo mume ankosa kazi tu..yaani hata kanga za mama anazijua zote...hivyo hata chupi anazifahamu..akikuona na ya pink ambayo hakununua yeye balaa inazuka. huyo binti naye kachemsha angemwambia tu change ya pesa za matumizi ndio amesave mpak itatimia. am just thinking hiyo mob justice ikiendela mkewe alikuwa hapo hapo ama alihamia kwa hossen kabisa waaaaaaaaaaaaaaah!
 
I hate mob justice. Wangekuwepo wenye busara wawili watatu kuuliza kulikoni msiba usingetokea. Huyo mwizi wa mke wa mtu nae akatubu sana. Dhambi kubwa hiyo,mkewe umnanii na bado mwenye nacho wamsababishia kifo? Siafiki kabisa !
 
tatizo la marehemu lilikuwa mkono mfupi kwa mkewe alikuwa anyoshi mkono ndo maana Hossen akampata kilaini na kuamua kugharamia faster.........
wote tunafahamu yakuwa wanawake wanapenda maisha mazuri,na si wavumilivu.
Hivyo tusipoteze muda kufuatilia sana mambo yao, tutaumia.Labda kama issue hiyo ndo unaweza fanya chochote lakini sio hatua ya kufanya mtu auwawe.
Muelekeze mwenzi wako.
 
Duh! Inasikitisha kweli wanawake ni wauwaji wakubwa ingawa si wote! Si wangemegana tu bila kuonesha hayo mambo mengine kwa mwenye mali? Au huyu mama alikuwa amemchoka mmewe!
 
Marehemu hakuwa na kosa lolote! Kosa limefanywa na huyo jamaa aliyemwita mwizi. Du wanawake ni wakatili sana!
 
wote tunafahamu yakuwa wanawake wanapenda maisha mazuri,na si wavumilivu.
Hivyo tusipoteze muda kufuatilia sana mambo yao, tutaumia.Labda kama issue hiyo ndo unaweza fanya chochote lakini sio hatua ya kufanya mtu auwawe.
Muelekeze mwenzi wako.

Ndo maana ukimchunguza kuku kwa makini anakula nini huwezi mla.
 
Huyo hakuwa mke mwema.
Mumeo anaitiwa mwizi na wewe uko hapo unashindwa kutetea??

Ama walipanga na huyo bana yake mupyaaaaaa?
Kama ni hivyo basi naye ajue iposiku atakuja kibopa mwingine atamrubuni na watamchinja Hossein kama kuku ili wajilie tundi uzuri.

Somo hilo,...!
 
Back
Top Bottom