miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Hadi lini sasa miss chagga ? Naumizwa mimi jamani.
Duh pole sana ... Ila kama vipi achana na mapenzi
Last edited by a moderator:
Hadi lini sasa miss chagga ? Naumizwa mimi jamani.
Siwezi mpa mimba kwasababu kuna kinga.
Housegirl hatongozwi dogo ww unavamia tu unapiga ngwala unaruka nae.Jamani kuna msemo unasema kwamba "wivu ni kidonda ukishiliki ugua pole"
Mimi ni mtoto wa familia nimejionea huu msemo ni kweli baada ya kukatamani kabinti ka kazi (housemaid) na kananikubali ila tatizo nahisi pia kanachukuliwa na jirani yetu.
Huyu jirani akitoka kazini bila aibu anajipendekeza na binti anatoka (sijui huwa anaenda wapi) basi mimi ndio naanza kuugulia na maumivu ya moyo. Jamani wivu mbaya acheni kabisa wivu.
Sijawahi kuwa houseboy, ni kweli mimi ni HB nalifaham hilo pia mabinti kunitaka ni kama kawa tatizo mazingira ya league1 ni magumu hapa hom
Asprin am horny u know,Kumbe na wewe ulishakuwa House Boy. Wakatu unafanya u-HB mabinti wa mwajiri wako hawakukushobokea??
Nipo kwenye 20+th hiyo age ulioisema hapo juu nilikuwa nawakimbia wadada ingawa wengi wao walinipenda sana sababu ya akili na u_HB
inakuwaje jirani anajigongea tu?Tatizo hata home kama wanamchunga sana mda wote mama yupo ndani tu asisikie mlango umefunguliwa huyo katoka chumbani na kuita (jina la housemaid)
Duh pole sana ... Ila kama vipi achana na mapenzi
Usinzi ni dhambi inayochafua nafsi yako kwa kiasi kikubwa na kukuweka mbali na Mungu achana na usinzi dogo piga kitabu.
Housegirl hatongozwi dogo ww unavamia tu unapiga ngwala unaruka nae.
Nani alikuambia wewe ni handsome?
1. Kioo unachojiangalizia
2 Dada zako?
3. Vijana wenzako wa kiume.
No.1 na 2 inawezekana ikawa si kweli.... ili upate faraja.
No. 3 inawezekana ikawa kweli.... Kuwa makini. Ogopa sana kujione uko handsome, kuna wanaume marijali humu. Usije ukasema sikukuonya
nakushauri kama umeshaongea nae nenda chumbani kwake chomoa ufunguo, usiku wazazi wakishalala wewe nyata taratibu hadi chumba cha beki3 mlango utakuwa haujafungwa na utajilia vyako taratibu, huyo jirani asikusumbue wakati mtoto anaishi kwenu!
nb: usisahau shule.