Wivu ni kidonda


Achana na jasho la hg, njoo ujaribu smthng u have never tried in ur life. I assure u that u ll never regret.
 
Ukweli ni kwamba housemaid wenu anampenda huyo jirani yako. Ila ww ameshindwa kukukataa kwa vile ni mtoto wa boss wake,maana mkikataliwa mnaanzishaga visa ndani ya nyumba.

Hakupendi acha kumuonea.

Yawezekana pia. Ila akikataa nitamuacha na 50 zake mkuu
 
24??!!! bado unapambania mabeki3, waachie madogo zako wajifunzie kugegeda ...............

Mkuu hapa mjini kuanda show unahitaji mpunga wa maana. Kama upo dsm utakubari kwamba mapenzi ni gharama so kuchapa bekitatu haizuiliki maana mti ukiwa mkavu si unajua?
 
Nipo kwenye 20+th hiyo age ulioisema hapo juu nilikuwa nawakimbia wadada ingawa wengi wao walinipenda sana sababu ya akili na u_HB

Kumbe na wewe ulishakuwa House Boy. Wakatu unafanya u-HB mabinti wa mwajiri wako hawakukushobokea??
 
Sasa si ujieleze kwa huyo binti ili akikukubali uwe na wivu halali manake huo wivu ulionao ni wivu usio halali labda jirani ndo anapiga mzigo hapo harafu we unaweka wivu wako

Huyo housemaid amenisoma na mimi nimemuelewa kwa vituko vyake. So hicho cha jirani ndio napata malue lue
 
you can't be serious dude

miaka 24 bado unahisi wivu kwa beki tatu???
au hujawahi kupenda kabla ndo unajifunza kwa beki

Nilisha pendwa na kupenda hata kupendana pia. Kumbuka u_housegirl haubadilishi status ya k. Yawezekana k yake ikawa nzuri zaidi ya ex wangu au GF wangu wa sasa. Haya mambo yaache tu.
 
Kumbe na wewe ulishakuwa House Boy. Wakatu unafanya u-HB mabinti wa mwajiri wako hawakukushobokea??

Sijawahi kuwa houseboy, ni kweli mimi ni HB nalifaham hilo pia mabinti kunitaka ni kama kawa tatizo mazingira ya league1 ni magumu hapa hom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…