Mkuu ushauri wako ni mzuri sana ila ninachoshukuru ni kuwa katika familia nilishawekeza vya kutosha yaani mke wangu ana miradi mikubwa tu hivyo hiyo jumamosi alisafiri katika biashara kwa wale wafuatiliaji wa zao la mpunga sasa hv ifakar ni kipindi cha kuvuna mpunga hivyo mke wangu yupo huko ameenda kusimamia uvunaji wa shamba lake so sidhani hata kama nikifa leo ghafla kama watatetereka kimaisha na huyu mchepuko duka lake hata milioni tano haifiki kwa huo mtaji wake ndio niaamini kama huyo mwizi wangu hajiwezi hatoweza kulipa kodi ya pale anapoishi nilimfungulia ile biashara ili aweze kununu vocha, nguo na vipodozi tu asiwe na virungu visivyo na tija.
Ndo malipo hayo... Tulieni na wake zenu
Sio kuteteana huo ndo ukweli ukitaka kula lazima uliweKwa kuteteana nyie...
Huyo anakuomba msamaha kwasababu bado anahitaji gharama zako (kukuchuna) lakini siyo mapenzi! Kuhusu roho kukuuma ni kwasababu ya pesa yako maana umemgharamia mpaka wengine nao wakavutiwa naye pili ni kujiuliza amekuchukuliaje mpaka akudanganye (boya??? ) tatu ni kuanza kuyatafuta mapungufu yako yaliyomfanya akachepuka! Utajiuliza ikiwa ulikuwa humtoshelezi (nguvu za kiume), maumbile yako(mpwelepweto), fedha hazikumtosha na mwisho utasema au kutokuwa kwake na shukrani? Kuumia kwa roho hutokana na mkusanyiko wa fikra hizo...Hapana mkuu huyu mwanamke nilimtoa Dodoma akafikia kwenye hiyo nyumba na alikuja hapa akiwa mgeni kabisa wa hili jiji la Makonda.
So huyo jamaa kama amempata basi huenda jamaa anajua kuwa yule mwanamke amelewa na yeye anachepuka kwa sababu eneo la pale anapoishi wengi wanajua mimi ndiye mume wake hata wpangaji wenzie huwa wanajua hivyo.
Sasa sijui ameutoa wapi ujasiri wa kuingiza mwanaume kwenye nyumba ile na yule jamaa sijui ndio wale msingi kiuno maana haogopi kwenda kulala kwenye nyumba ambayo hauilipii kodi.
Naam! Kama una moyo wa ujasiri basi ufanye alichokwambia jamaa...tatizo hapo si yeye kugegedwa, tatizo ni wewe kujua amegegedwa na zaidi haswa ni kwenye nyumba uliyolipia! Mchepuko ni kama mama ntilie tu, akila mtu basi sahani hiyhiyo inaoshwa halafu anapakuliwa mwingine...haina uchafu!!! Ila kuwa makini wasije kukupa maradhi, ukaangaisha familia!!!Kwa unataka kusema nirudi tena mkuu ili niweze kufanya hizo za kufilisi?
piga chini huyo mtafute mchepuko mwingine......
Mkuu huwa sipigi nyama kwa nyama sijawahi kuuamini mchepuko mpka kuweka afya yangu rehani kama hivyo.Naam! Kama una moyo wa ujasiri basi ufanye alichokwambia jamaa...tatizo hapo si yeye kugegedwa, tatizo ni wewe kujua amegegedwa na zaidi haswa ni kwenye nyumba uliyolipia! Mchepuko ni kama mama ntilie tu, akila mtu basi sahani hiyhiyo inaoshwa halafu anapakuliwa mwingine...haina uchafu!!! Ila kuwa makini wasije kukupa maradhi, ukaangaisha familia!!!
piga chini huyo mtafute mchepuko mwingine......
Papuchi walipeana! Kwani jamaa alikuwa hajishughulishi??? Mimi kuambiwa nilikuwa napewa na napaswa kuilipia sipendi kabisa...tena yawezekana yeye ndiye alikuwa anampa mpa kweli kuliko huyo binti!!!Papuchi si alikupa lakini sasa ufilisi nini tena hapo we ni mwizi kwa mkeo acha hyo tabia si deal kwa mkeo ndo unapata free papuchi mana umeilipia mahari
Too bad sichepukagi nko njia kuu......Kwani nini iniume kwa mke wangu wakati sijasababisha matatizo yoyote kwa upande wake?Hivi wewe ukichepukaga na yule mtu wako huwa unaumia roho?
Haya Diva, bora sie walokole, maana tunayasikiaga tu hayo.Sio kuteteana huo ndo ukweli ukitaka kula lazima uliwe
Mke wangu hajawahi kulalamika wala kuhisi kama ninachepuka kwa sababu ratiba zangu za kazi haziwahi kubadilika yaani bora nidanganye ofisini kuwa naimwa kuliko kudanganya kwa mke wangu ili nikakae kwa mchepuko ila kwa pointi hizi za leo sihangaiki tena na michepuko.pole, inawezekana ni maombi ya mkeo ,ndo maana mungu kakuonesha njia ya kuachana na huyo mchepuko,so kutulia na mkeo.
Siyo lazima mkeo ajue kama ww upo na mchepuko bt, wanawake huwa tunapenda sna kuwaombea waume zetu, so inawezekana akawa anakuombea mungu akuepushe na mengi mabaya, moja wapo ndo hiloMke wangu hajawahi kulalamika wala kuhisi kama ninachepuka kwa sababu ratiba zangu za kazi haziwahi kubadilika yaani bora nidanganye ofisini kuwa naimwa kuliko kudanganya kwa mke wangu ili nikakae kwa mchepuko ila kwa pointi hizi za leo sihangaiki tena na michepuko.
Baki njia kuu......Duuuuuh....!!!
Tafuta simu maalum kwa ajili ya mchepuko hyo simu utajua mwenyewe pa kuificha. Inakuwaje unampa mchepuko namba yako official mkeo hashiki simu yako? Ukizidi sana kumkatalia mkeo ccm yako atahisi una mchepuko na halo ndo mwanzo wa kumegewa my wife wako.Ukweli mchungu ila unaponya mkuu hapo kuna vitu najifunza kupitia ushauri wenu.Lakini usipouambia mchepuko kuwa umeoa si atasumbua sana kupiga simu huku akijihisi yupo peke yake mwisho wa siku atakuharibia ndoa yako mkuu?
He hee hebu kitulizeni hukoAcha roho mbaya bana wewe bidada Vale. ha ha ha haaah