Wivu kwa Ali Kiba kumla meneja wake

Katika mwaka 2016 stori zilizo zagaa mitaani juu ya ali kiba mkumtafuna meneja wake seven mosha imeutesa sana moyo wangu... maana seven ndio mwanamke ninayempenda kuliko wote... wakuu nisaidie kumpata huyu mrembwende..
Kula kwa macho
a02cd012f65efc9aae715a412a6bc669.jpg
 
Wenyewe wanaume wa dar wana msemo wao " Ali Kiba sio mtu wa ki-sport sport" ...angeendelea kumshtulia kijoti huyo meneja wake, Umoja Wa Mashababi Tanzania ungemdharau sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom