Jamaa mmoja kabila namuhifadhi kwa leo alianza kusHtukia nyendo za my wife wake; so akaona bora aanze kupiga defence; ndoa ikiwa na mwaka mmoja tu jamaa akawa na tabia ya kupiga piga simu nyumbani kwake; Siku moja akapiga simu; Hello mke wangu; ze wife beee; upo nyumbani? Ze wife: Ndiyo; Haya kama upo nyumbani washa Brenda nihakikishe kama upo home; Ze wife Subiri; akaenda jikoni akawasha Brenda na mume wake akaridhika; siku ya pili hakupiga; siku ya tatu akajaribu tena na mambo yakawa hivyo hiyo; siku ya nne hakupiga; ya tano hakupiga ya sita akapiga mambo yakawa hivyo hivyo; Siku na Nane akaona aende mwenye nyumbani tena alikuwa na hamu akapige menu ya mchana na ze wife wake; saa saba jamaa akachomoka ofisini akaenda; kufika home anamkuta msichana wa kazi tu; ehee vipi mama yako kenda wapi? Msichana: Katoka asubuhi kasema anasenda kwa fundi kutengeneza BRENDA.