kati ya yoooote uliyoyaongea hapo ndo mwisho wa matatizo, huna jinsi...... mimi nina jinsi.....I am not with you anymore, unaweza kufanya chochote na hakinihusu.....kila mtu ame-move on na maisha yanaendelea.
mimi nilichosema kwangu haki-apply ni kwamba lazima usikie kawivu kwa x, ukiona kuwa bado unakawivu ujue bado unampenda, na ndo maana itakuwa rahisi sana kwenu kurudiana sababu bado mnapendana..... wanasema kiporo hakihitaji moto mwingi, siyo?
huo nao eti unaitwa wivu, lol!
mtu akifikia hatua hiyo siyo kwamba anakuonea wivu bali hakuamini....
hakuna kwenda kazini, shule, sokoni, kwa mjomba, kwa wakwe bila mume....yaani huamini mtu yeyote.....na home umefunga CCTV ambayo upo nayo 24/7..... halafu mama unasema "mume wangu ana wivu kweli na mimi"
Different breed? how? lol..
Sasa shida iko wapi? Mke na mume tutachunguzana mpaka mwisho wa dahari. Nani anataka kuletewa ukimwi ndani? Nikigundua unafanya mambo yako huko nje, napiga chini mapema kabla mambo hayajabadilika.mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.
nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.
jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
FP nimependa hapo kwenye red.. unaonesha wewe una uelewa mkubwa sana... never turn back kama vile amabavyo huwezi kurudia utotohiyo hapo kwangu haiapply........
nakupenda tunapokuwa pamoja, nikikuona na mtu nitaumia sana.......yaani wivu unakuwa 100% lakini siku nikikubali kuachana nawe ujue na upendo kwako unaisha...... ndo maana mimi sijawahi kurudi kwa x, hata kama nilikupenda vipi..... ulishapita...... utakuwa rafiki yangu mzuri tu nakini wivu kwako hakuna tena...... tena naweza hata kumtafutia mtu ambaye naona anaweza akamfaa (nimeshawahi kufanya hivi tena kwa mtu ambaye nilimpenda saaaannnaaaa)
ha haaaaaaaaaa, unaenda ku-discuss?nitarudi kupangua hizi longolongo bin denialism bin etcetera zako pamoja na falsafa za mars za kiranga, laters
hivi unaweza kumwonea wivu mtu ambaye humpendi?hapa umenena, wapo wengi wanaochangaya wivu na kutoaminiana kama wewe unavyochanganya kutosikia wivu na kutompenda mtu tena ilhali kinachoongelewa hapa ni katika wakati uliopita i.e. kama huona wivu sasa jua hata ulipokuwa naye ulikuwa humpendi (maybe ulikuwa obsessed or infatuated tu) baada ya kupata unayoiita jinsi akawa hana mpango hadi ukawa tayari kumtafutia mtu mwingine afaidi kile ambacho umegundua kuwa kumbe wala ulikuwa hukipendi kivile!
Well said mkuu, haya ya kusema you can move on regardless na eti unaweza kumtafutia mtu mwingine? Basi binadamu tumeumbwa tofauti kabisa jinsi tunavyo chukulia mambo ya mapenzi. Wengine wanayachukulia kimzaa mzaa vile i.e hawawapendi wenzao kwa dhati ndio maana wanakuwa na ujasiri wa kubadilisha wapenzi kama flash DISKS!! Hii imenikumbusha hulka za wasichana/wanawake wa kizungu - wanazungumzaga bila simile kwamba unujua nilikuwa na BF wangu nilikaa naye miezi miwili nikaona hamna kitu nika move-on, juzi juzi nimepata mwingine naye akileta mambo ya kipuuzi nta move on, I hope tabia hizi hazitaingia nchini hasa hasa kwa vijana wetu.acha denialism, hapa hatumaanishi kuwa unataka kurudiana naye au you are not over him - tunamaanisha kuwa usiposikia kale kamshtuko kule ndani basi ujue hukuwa unampenda, hayo mengine yote ni jitihada tu za ku-move on na kujiaminisha (kujipumbaza) kuwa upendo umeisha hivyo unaweza hata kumtafutia mtu; hivi unajua kwenye baadhi ya jamii zenye mitala ni mke anayemtafutia mume mke wa pili hivyo hicho sio kigezo cha kusema eti unafanya hivyo kwa sababu humpendi tena au huna wivu naye tena, ni namna tu ya kuendelea na maisha kwa kuwa huna jinsi...
umeona eeeh mdogo wangu? (humu wengi nawaita wadogo zangu ingawa lara 1 analikataa hili)FP nimependa hapo kwenye red.. unaonesha wewe una uelewa mkubwa sana... never turn back kama vile amabavyo huwezi kurudia utoto
hii comment yako inaonyesha kuwa u-mtu mzima mwenzangu......sasa tuambiane...... umeshawahi kuwa na wapenzi wangapi tangu uanze mambo ya mapenzi? hapa tunaongelea wapenzi, siyo wapita njia...........Well said mkuu, haya ya kusema you can move on regardless na eti unaweza kumtafutia mtu mwingine? Basi binadamu tumeumbwa tofauti kabisa jinsi tunavyo chukulia mambo ya mapenzi. Wengine wanayachukulia kimzaa mzaa vile i.e hawawapendi wenzao kwa dhati ndio maana wanakuwa na ujasiri wa kubadilisha wapenzi kama flash DISKS!! Hii imenikumbusha hulka za wasichana/wanawake wa kizungu - wanazungumzaga bila simile kwamba unujua nilikuwa na BF wangu nilikaa naye miezi miwili nikaona hamna kitu nika move-on, juzi juzi nimepata mwingine naye akileta mambo ya kipuuzi nta move on, I hope tabia hizi hazitaingia nchini hasa hasa kwa vijana wetu. kabisa huo unaweza kusema ulikuwa ni mapenzi ya dhati hata mimi nilishtuka kidogo na hii comment "
FP sio kwamba hamwamini ila ana wivu ulopitiliza manake kama ni watu wanapiga nae story tu yaani mama akajibu watu wakachangamka basi baba hulalamika kwann watu baki wanamfaidi yeye(mke) kuliko baba anavyomfaidi??huo nao eti unaitwa wivu, lol!
mtu akifikia hatua hiyo siyo kwamba anakuonea wivu bali hakuamini....
hakuna kwenda kazini, shule, sokoni, kwa mjomba, kwa wakwe bila mume....yaani huamini mtu yeyote.....na home umefunga CCTV ambayo upo nayo 24/7..... halafu mama unasema "mume wangu ana wivu kweli na mimi"
FP mimi nilikuwa naye tuli break kwa makubaliano, ana sura nzuri ever lakini sijawah kujuta kuachana naye, pia sijawah taman itokee siku tuachane coz sikukurupuka kuachana... tangu aachane nami nimemkuta na boys more than 4 na wengine walikuja kuniuliza kama sitawa mind endapo watamtokea, I allowed them maybe wakashindwe na wakaleta ripoti tumempata nikawaambia nilijua hamtamkosa na hamtanyimwa...! Nilimpenda familia yangu ilimkubali kuliko chochote mpaka leo wananisihi nirudiane naye but huwa nawacheka na kuwapa stop... Siwezi kula matapishi yangu....!umeona eeeh mdogo wangu? (humu wengi nawaita wadogo zangu ingawa lara 1 analikataa hili)
unaoneaje wivu mtu ambaye alishapita? hiyo ni kiashiria kuwa bado una feelings naye, period
Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na mtu mkaachana, akakuacha au ukamuacha halafu ukimuona na mtu mwingine husikii wivu tambua kuwa ulikuwa humpendi mwenzako. Wivu ni kipimo thabiti cha mapenzi. Angalizo: Wivu ukizidi husababisha kifo. Ushauri: Maumivu yatokanayo na wivu yakizidi muone daktari. Kwa leo ni hayo tu kutoka kwenye Tafakuri za Alfajiri za Kompanero.
---
"Penzi Kitovu cha Uzembe" - Ngoswe
FP mimi nilikuwa naye tili break kwa makubaliano, ana sura nzuri ever lakini sijawah kujuta kuachana naye, pia sijawah taman itokee siku tuachane coz sikukurupuka kuachana... tangu aachane nami nimemkuta na boys more than 4 na wengine walikuja kuniuliza kama sitawa mind endapo watamtokea, I allowed them maybe wakashindwe na wakaleta ripoti tumempata nikawaambia nilijua hamtamkosa na hamtanyimwa...! Nilimpenda familia yangu ilimkubali kuliko chochote mpaka leo wananisihi nirudiane naye but huwa nawacheka na kuwapa stop... Siwezi kula matapishi yangu....!
Nilimpenda na sikuamini kama ntakuja achana naye but upendo wote ulitoka after a breakup meeting!
umenikumbusha mbali sana kwa mwandiko huu. niliwah kukosea nikiwa hubby alinieleza neno kama hilo kwamba wajua nakupenda sana sana, na sisi G's tunakuhitaj sana but once ukirudia tena hili sitojali kwamba u wa muhimu na mpendwa wetu. kauli hii huwa haikauki ubongoni kwangu, hujirudia rudia sana, ingawa yeye aliitamka kiume kwa kauli moja tu tena ya upole sana alkn yenye mamlaka.
Paxman nilichojua mara nyingi sana mwanaume akiisema kauli yake kwa hisia huwa anaimaanisha kweli. huwa kwa sisi tulioolewa mume akisema kitu kwa hisia hadi moyoni hukiskia kitu hicho tena muda mwingine huwa unashangaa imekuwaje connection kati ya kauli yake na moyo wangu?? ndo sababu chunguza sana usione mwanaume ni mkalia ukasema mkewe anazajae kuishi nae?? mara nyingi huwa kuna connection kati ya maneno ya huyo mume na moyo wa mwanamke husika na hukuta kamwe hawawez kutengana hata mjitahid vpNi udhaifu mkubwa sana kurudiana na ex...! Sijui ni nini unajua nikikuambia nakupenda hasa MIMI Paxman huwa namaanisha lakini sio sababu ya wewe kufanya utakalo kisa unapendwa bali ur supposed to pay back that love kwa kila hali hapo upendo hautoki gfsonwin haiwezi kukutoka coz ni maneno yenye uhalisia na uhai pengine!
ha haaaaaaaaaa, unaenda ku-discuss?
karibu sana.... ila ujue huo ni msimamo wangu mimi, sijawasemea wengine
mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.
nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.
jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
Duuuuh huyo jamaa wivu ulipitiliza hivi unajua kuwa mtu kama huyu akigundua mkewe ana mcheat anaweza ku hire watu wa kumuua anaye toka na mkewe? Na watu wa namna hii hawawezi kumuacha mke pengine hata wakimkamata na mtu!
mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.
nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.
jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.