Elections 2010 Wito wa kukamatwa kwa mnajimu

:hippie:Asanteni wenyeji,WIZI WA KURA TUMEUONA? Ama mpaka mtu akimbienazo mkononi?KUKOSEKANA MAJINA,KUCHANGANYA NAMBA,VYAMA,na VITUO.WASAFIRI,WANAVYUOVIKUU,WALOHAMIA BAADA YA MAREKEBISHO YA DAFTARI JAPO WOTE NI WATANZANIA ETI HAWASTAHILI KUCHAGUA RAIS NA HAWAPO NJE YA NCHI YAO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?. SUMILA.
 
Mimi ninavyojua ili uwe mnajimu unahitaji kuwa na kiwango fulani cha utakatifu japo si cha liwango cha malaika. Huyu mnajimu amezaa na vimada mmoja alikuwa mtumishi wa TANCONSULT pale mikocheni walikutana wakati akiwa maskani Nairobi miaka ya 70. Ni wa kumpuuza, hastahili kula bure pale magereza! aachwe kwani afya mgogoro yeye ndiye anachungulia kaburi. Namtabiria kifo katika kipindi cha rais ajaye!
 
Huu ni mwanzo wa mwisho wa mnajimu huyu na JK wake


kuna msemo : If wishes could have been horses everybody could have one to ride! haya maneno ya kuapiza ni dua la kuku kwa mwewe! kule marekani wana kampeni kali lakini husikii maapizo...hadi sasa sioni Obama , Mccain, Clinton walikuwa washindani wote sasa wanafanya kazi pamoja kwa manufaa ya Marekani!Hao Wanafalsafa waliobobea weney fikra nzito! naona watoto wadogo wanacheza mdaku , foliti halafu mnaziita fikra pevu..! anzeni basi kutoa fikra zilizokomaa tufaidi maana kejeli, mkwarambuzi vyote ni dalili ya ugonjwa uitwao: UWAMANYU( Ukosefu wa malezi nyumbani!)
 
Back
Top Bottom