Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 845
Hakuna haja mkuu wacha upinzani ufe nchi iwe na aman maana aman inatoweka kwa sababu ya uwepo wa upinzan waxha turudi nyuma.Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?
Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!
Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..
King
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?
Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!
Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..
King
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Kwanza jiulize vyama vingi vilikujaje?!!Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?
Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!
Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..
King
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Vilikuja kutokana na shinikizo la wazungu, Ova!Kwanza jiulize vyama vingi vilikujaje?!!
Ni kweli vyama vingi vililetwa kwenye " sahani" watafuta fursa wakavichangamkia, na sasa fursa zimekaza vyama vinayeyuka litabakia babalao pekee!Vilikuja kutokana na shinikizo la wazungu, Ova!
Hatuwezi kukaa meza moja n wasaliti , wanaotembea na Pricetag mgongoni , waache waende zao , lakini laana ya usaliti haitamwacha mtu .Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?
Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!
Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..
King
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Ruzuku ni matokeo ya siasa safi , hatuwezi kushiriki uchafu uliojaa mauaji kisa ruzuku .Wengine wanahama afu kibaya zaidi Chama kinazira kushiriki uchaguzi mdogo. Hapo sasa patamu. Hii hama hama inaiathiri Chadema maeneo mengi moja wapo ni ruzuku inapungua. Mengine ongezea wewe. ......
Hata Haruna Nyoyinzima alinunuliwa na Simba kutoka Yanga......ova!Ukinunulika huna tofauti na Dem kahaba
Ova
Kwaiyo Kuzira uchaguzi ni siasa safi? Kwa kifupi chadema wamepoteana. Ile safari yetu ya matumaini imekuwa safari ya masikitikoRuzuku ni matokeo ya siasa safi , hatuwezi kushiriki uchafu uliojaa mauaji kisa ruzuku .
Wakati wa kujisafisha.Acha waende wote huu ni wakati mwafaka wakujua who is real & who is fake
Kama kweli mbona huna furaha au unasema usicho amini maana ndio kawaida ya chama kipanaWengine wanahama afu kibaya zaidi Chama kinazira kushiriki uchaguzi mdogo. Hapo sasa patamu. Hii hama hama inaiathiri Chadema maeneo mengi moja wapo ni ruzuku inapungua. Mengine ongezea wewe. ......
Sina furaha Chadema kinakufa uelekeo wake kama CUF MaalimKama kweli mbona huna furaha au unasema usicho amini maana ndio kawaida ya chama kipana