Wito: Viongozi wa upinzani kaeni na wabunge wenu kunusuru hama hama

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
771
1,000
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?

Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!

Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..

King

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Msambwata

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,307
2,000
Sure bro. Tatizo fungu wanapewa nono. Assume MTU anakupigia anakwambia "Fulani...nakutaka kwa gharama yoyote ile"....

Kuna watu bogus sana at Seniority level
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,460
2,000
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?

Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!

Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..

King

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Hakuna haja mkuu wacha upinzani ufe nchi iwe na aman maana aman inatoweka kwa sababu ya uwepo wa upinzan waxha turudi nyuma.
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
3,510
2,000
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?

Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!

Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..

King

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app

Mimi nadhani hakuna haja ya kufanya hivyo. Kila mtu ana haki ya kwenda anakoona kunamfaa zaidi.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,400
2,000
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?

Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!

Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..

King

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Kwanza jiulize vyama vingi vilikujaje?!!
 
eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,206
2,000
Wafanye haraka watuachie chama chetu
Maana naona nchi haina amani kisa Chadema
Naona nchi haiendelei kisa Chadema
Naona viwanda havijengwi kisa Chadema
Naona CCM haina Amani kisa Chadema

Mtoke wote mtuachie chama chetu maana shuhuli za siasa zimepigwa chini kisa Chadema
Na CCM haiwezi kuendesha nchi kisa Chadema

Chadema itabaki na wapenzi wake hata tukishinda na tume ikatangaza tofauti bado tutabaki Chadema sisi wapenzi wa chama hiki
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,794
2,000
Wengine wanahama afu kibaya zaidi Chama kinazira kushiriki uchaguzi mdogo. Hapo sasa patamu. Hii hama hama inaiathiri Chadema maeneo mengi moja wapo ni ruzuku inapungua. Mengine ongezea wewe. ......
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,121
2,000
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?

Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!

Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..

King

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Hatuwezi kukaa meza moja n wasaliti , wanaotembea na Pricetag mgongoni , waache waende zao , lakini laana ya usaliti haitamwacha mtu .
 
Elevat Kapela

JF-Expert Member
Dec 9, 2017
525
1,000
Waende tu tutakaobaki ndio tutaupanga vizuri upinzani. Hata mtu yeyote au taasisi yeyote huwa inapitia kipindi hiki. Chadema tukipita kipindi hiki ndio tutaona mafanikio. Tunaoweza tuvumilie hadi mwisho tutauona ushindi na ndipo fursa nyingi na za thamani zitapatikana. Kwa kheri mnaondoka tunawatakia yaliyo mema, wacha wengine tuendelee na safari hii hadi tutakapoiona nuru.

MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
yakowazi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
1,504
1,500
Wengine wanahama afu kibaya zaidi Chama kinazira kushiriki uchaguzi mdogo. Hapo sasa patamu. Hii hama hama inaiathiri Chadema maeneo mengi moja wapo ni ruzuku inapungua. Mengine ongezea wewe. ......
Kama kweli mbona huna furaha au unasema usicho amini maana ndio kawaida ya chama kipana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom