Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 845
Kila Leo watu wanatangaza kumuunga mkono mh magufuli, je ni kweli kwamba umefika wakati hatuhitaji vyama vingi? Na je Akija RAIS mwingine akafanya mabaya watamuacha na kurudi upinzani?
Naomba wanapotoka waseme ni mambo gani mkuu amefanya ambayo wao hawahitaji Tena kutumikia wananchi wao... Kwamba magufuli ashatatua kero zao zote!!
Kaeni nao muwape Semina ya Kina na ikiwezekana watoke wote kwa Pamoja wanao taka kwenda CCM Ili wabaki wapinzani wa Ukweli..
King
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app