Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,022
hapo ndipo utauona uhayawani wa CCM
Usiahau kumtaja mwenye hati miliki ya hilo ulosema maana ni nukuu.Ndiyo maana wana viburi vya kila siku kutuimbia wimbo kuwa tujiajiri, wakati wenyewe wenye uwezo wa kupata hata mtaji wa m50 hawasubutu kujiajiri!
Nimegundua wewe unafurahia wazo la waziri mkuu kwa wengine ila wewe lisikuguse au sivyo.Mawazo ya kimasikini yanazidi kushamiri awamu hii, nadhani ni kwa vile rais anaupenda umasikini na kuupigia debe na kudai yeye ni rais wa masikini na anawapenda masikini basi kila mtu anadhani umasikini ni sifa na anataka awe masikini.
Watu masikini wana wivu sana hawataki kuona mtu anafaidi,wao wanataka kila mtu awe kama wao,wakisikia flani anafaidi hivi roho inawauma sana.
Haya ya kutaka sijui nini kuondolewe,itafika hatua mtataka hata rais asiishi ikulu na aaipewe ulinzi maana ni gharama.
Heri uwe masikini lakini uwe na mawazo ya kitajiri kama mimi kuliko kua masikini na mawazo ya kimasikini kama mtoa mada, mawazo ya kimasikini ni mabaya sana.
Hii inatokana na rais kupandikiza mawazo ya kimasikini kwa watu na kuona kila aliefanikiwa ni fisadi au kila anaeishi vizuri ni mwizi. Hii nchi bwana.
kwa mfano, mikoa 26,kila mkoa wilaya 4= wakurugenzi 104Kuetekeleza Agizo la Mh Waziri Mkuu kwa vitendo kama mwananchi wa kawaida namuomba Waziri na Katibu Mkuu mwenye mamlaka azifutilie mbali posho za Nyumba, Umeme, Simu na Maji kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara katika Wizara, Mikoa na Halmashauri.
Kwa ufupi Posho hizi zilizobatizwa jina la Utility zinaweka tabaka baina ya watumishi wa Umma, inasikitisha na Kushangaza Wakuu wa Idara na Viongozi mbalimbali wa Kisiasa ambao wengi wao mishahara yao inaanzia 3,700,000/= hadi 5,500,000/= kulipwa tena posho za nyumba, umeme, maji na simu ilihali mishahara yao ni mikubwa na inajitosheleza.
Posho ambazo viongozi hawa hupata kila mwezi kwa ajili ya nyumba, umeme, maji na simu ni Tsh 975,000/= ambapo posho tu wanayopokea inazidi mshahara wa afisa wa kawaida mwenye degree anayelipwa TSH 710,000/= kwa mwezi hapo hujaweka makato ya kodi, bima ya afya na mifuko ya jamii.
Mh Waziri Mkuu kama tunataka kuleta usawa katika watumishi wa umma anza nahii posho ya 975,000/= ambayo hata Mh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ndugu hapi analamba kila mwezi nje ya mshahara wake.
Sijawahi ona mawazo pumbavu kama haya tangu niingie jamii forum.Watu hao hawalipwi hayo kwa hisani, wanalipwa hayo kutokana na kazi na hatari zinazoambatana na hiyo kazi.
Nasema ni mawazo ya kimasikini maana masikini ndio anaona mwenzake anafaidi basi wafanane,huyu alietoa mada anaona hao wakurugenzi na madc sijui nani wanafaidi sana waondolewe hizo huduma wawe sawa na yeye.
Mtu ni katibu mkuu,yeye ndie mtendaji na msimamizi mkuu wa mambo ya wizara kuanzia watumishi,fedha nk,unataka alipwe laki saba bila marupurupu afanane na wewe unaefunsisha huko nyampulukano sec school,haiwezekani.
Lazima muelewe, watu hawalipwi mishahara wao na hawapewi hizo huduma wao, inalipwa huduma wanayoitoa,inalipwa kazi wanayoifanya,usione mbona Mkuu wa wilaya Flani bwana flani analipwa hiki na hiki, hapana, halipwi bwana flani, inalipwa kazi anayoifanya bwana flani.
Haya ni mawazo ya kimasikini. Kama mawazo ya kimasikini hayatatutoka tuna safari ndefu ya maendeleo. Kwa nini usifight kua kama yeye ulipwe hizo badala yake unataka yeye awe kama wewe?
Watumishi wa uma wanatakiwa kuwa na bunge lao,sio hilo la kulala na la gizani.Hii kitu nimewahi kuhoji mara kibao, iweje mtu unalipwa mshahara mkubwa ila wanapata huduma nyingine bure? Halafu unakuta anayelipwa kidogo ndio anajigharamia vitu vyote
SIJU KAMA AKI YAKO INA AKILMawazo ya kimasikini yanazidi kushamiri awamu hii, nadhani ni kwa vile rais anaupenda umasikini na kuupigia debe na kudai yeye ni rais wa masikini na anawapenda masikini basi kila mtu anadhani umasikini ni sifa na anataka awe masikini.
Watu masikini wana wivu sana hawataki kuona mtu anafaidi,wao wanataka kila mtu awe kama wao,wakisikia flani anafaidi hivi roho inawauma sana.
Haya ya kutaka sijui nini kuondolewe,itafika hatua mtataka hata rais asiishi ikulu na aaipewe ulinzi maana ni gharama.
Heri uwe masikini lakini uwe na mawazo ya kitajiri kama mimi kuliko kua masikini na mawazo ya kimasikini kama mtoa mada, mawazo ya kimasikini ni mabaya sana.
Hii inatokana na rais kupandikiza mawazo ya kimasikini kwa watu na kuona kila aliefanikiwa ni fisadi au kila anaeishi vizuri ni mwizi. Hii nchi bwana.
Baba yako yumo kati ya wanaofurahia mateso ya wengine walio wengi,huna haja ya kulaaniwa bali ipo siku kivuri chako kitakukimbia.Watu hao hawalipwi hayo kwa hisani, wanalipwa hayo kutokana na kazi na hatari zinazoambatana na hiyo kazi.
Nasema ni mawazo ya kimasikini maana masikini ndio anaona mwenzake anafaidi basi wafanane,huyu alietoa mada anaona hao wakurugenzi na madc sijui nani wanafaidi sana waondolewe hizo huduma wawe sawa na yeye.
Mtu ni katibu mkuu,yeye ndie mtendaji na msimamizi mkuu wa mambo ya wizara kuanzia watumishi,fedha nk,unataka alipwe laki saba bila marupurupu afanane na wewe unaefunsisha huko nyampulukano sec school,haiwezekani.
Lazima muelewe, watu hawalipwi mishahara wao na hawapewi hizo huduma wao, inalipwa huduma wanayoitoa,inalipwa kazi wanayoifanya,usione mbona Mkuu wa wilaya Flani bwana flani analipwa hiki na hiki, hapana, halipwi bwana flani, inalipwa kazi anayoifanya bwana flani.
Haya ni mawazo ya kimasikini. Kama mawazo ya kimasikini hayatatutoka tuna safari ndefu ya maendeleo. Kwa nini usifight kua kama yeye ulipwe hizo badala yake unataka yeye awe kama wewe?
This is too high for your brain to comprehend. Moron!Watumishi wa uma wanatakiwa kuwa na bunge lao,sio hilo la kulala na la gizani.
Halafu hata ukienda dukan kununua unga, mangi yeye hajui nani anapokea 710,000 au 5,500,000 wote munalipa sawasawaNaunga mkono hoja, kusiwe na discrimination, kama kwingine zimefutwa basi kote zifutwe tu maana hamna namna!
Uwe mwelewa,sio kubwata.This is too high for your brain to comprehend. Moron!
hizo ni ndoto za mchana kweupe....Hizo posho soon zitafutwa maana nchi imefilisika ni swala la muda tu, nasikia kuna harufu ya vikwazo
Tatizo sio akili yangu kua na akili, tqtizo liko kwenye akili yako kuelewa nilichokiandika, watu wenye mtindio wa ubongo sio rahisi kuelewa nilichokiandika.SIJU KAMA AKI YAKO INA AKIL
UKIWWWMO WEWE MAANA UUI LICHOKANDIKATatizo sio akili yangu kua na akili, tqtizo liko kwenye akili yako kuelewa nilichokiandika, watu wenye mtindio wa ubongo sio rahisi kuelewa nilichokiandika.