Wito kwa wana CHADEMA wote!

Nilifikiri wanachangia wanachadema tu kama thread inavyotaka,nami niseme kuna shairi ktk kitabu cha malenga wapya linaitwa"usiwe bendera kufuata upepo".wakati ukifika cdm watabadilisha uongozi ila si kwa maelezo ya mimi na wewe wana ccm.waachie wenyewe.
 

Well said
 

safi sana kiongoz umeonesha wewe ni great thinker.
 
Tulia kabisa brother,unataka mabadiliko ya uongozi ili ccm wapate mwanya??subiri tuchukue nchi kwanza,acha papara au umetumwa na zittto???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…