Wito kwa wana CHADEMA wote!

Wito kwa wana CHADEMA wote!

Kwani uliposema kitaasisi ulimaanisha nini ?au kikundi kilicho kaa kitaasisi kinatambulikaje kisheria ?nataka kujua mkuu.maana hili suala linatusumbua sana huku kijijini kwetu maguu.
 
Baada ya babu kuumbuka na kuwahutubia watu wasiozidi kumi, anaanza kuwadanganya watanzania kuwa kuna watu waliojuzulu, wanataka kuomba msamaha(huyu mzee siasa zinamshinda sasa) yeye badala ya kumwaga sera anaenda kujitetea,

naona itv inawapa tafu, kwenye taharifa ya habari wamesema silaa apokelewa kwa maandamano makubwa, cha kushangaza kwenye video inaonyesha pikipiki tano zikiwa na magari ya polisi. Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu????
 
“Nothing is more terrible than to see ignorance in action.” (Johaan Wolfgang Von Goethe)

we jidanganye tu, kwani umaarufu wa CDM kabla ya skendo ya List of shame(ile 1st eleve ya mafisadi) Slaa buzwagi-Zitto, richmond, ilikuwaje? Matukio ndo yamekipa uhai.

2007 nilipewa kadi na Slaa akiwa na baregu pale kwenye ukumbi ulio karibu na mliman city, ilikuwa kutambua kazi yake
 
Would you please respond to me by using the same language?
 
Baada ya babu kuumbuka na kuwahutubia watu wasiozidi kumi, anaanza kuwadanganya watanzania kuwa kuna watu waliojuzulu, wanataka kuomba msamaha(huyu mzee siasa zinamshinda sasa) yeye badala ya kumwaga sera anaenda kujitetea,

naona itv inawapa tafu, kwenye taharifa ya habari wamesema silaa apokelewa kwa maandamano makubwa, cha kushangaza kwenye video inaonyesha pikipiki tano zikiwa na magari ya polisi. Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu????
"Ignorance is a lot like alcohol: the more you have of it, the less you are able to see its effect on you." (Jay M. Bylsma)
 
Kwani uliposema kitaasisi ulimaanisha nini ?au kikundi kilicho kaa kitaasisi kinatambulikaje kisheria ?nataka kujua mkuu.maana hili suala linatusumbua sana huku kijijini kwetu maguu.

Nijuavyo kitaasisi, kila mmoja yuko sawa ili mradi mila na desturi za taasisi zizingatiwe. Chadema hawako hivyo, kuna watu wana haki zaidi ya wenzao, hata wakiharibu hawachukuliwi hatua. Kwa mfano uchaguz wa chma uliopita, kuna watu walizuiwa. Taasisi ni objective sio subjective
 
Would you please respond to me by using the same language?

samahani mkuu, najua unajibuùlichosoma na kuelewa. Mie mtz, lugha ya kabila langu na lugha ya taifa ndo nazozimudu zaidi. Lugha ya wazungu wanatumia wao na waganda na wakenya
 
Wakati wakihalalisha maamuzi mazito ya kuwachukulia hatua viongozi wake kwa tuhuma mbalimbali, wakidanganya hawaogopi kumchukulia hatua yeyote kwa kuhofia kukiua chama sababu kimejengwa kitaasisi.

Mnajidanganya. Chama kipo hivyo kilivyo si kwa sera zake, maana CCM wako vizuri zaidi ya CHADEMA, Bali:-

1. Wabunge wake mahiri waliofichua uozo wa gov. Ni Zitto na Slaa.
2. Wabuge wenye bahati ya kupendwa(mvuto) si kwa kazi wazifanyazo (Mfano LEMA)
3. Kukata tamaa kwa watanzania dhidi ya CCM.

Watu wamefuata watu, wakiondoka...

Aliyelala usimuamshe...
 
sasa wewe kilichobaki weka sherehe ukifurahia kifo cha chadema...

kama watu wamefuata watu mbona walivyoondoka watu watu hawakuwafuata zaidi ya kusikia wanaomba msamaha warejeshwe kundini.?
 
samahani mkuu, najua unajibuùlichosoma na kuelewa. Mie mtz, lugha ya kabila langu na lugha ya taifa ndo nazozimudu zaidi. Lugha ya wazungu wanatumia wao na waganda na wakenya
I have no idea what the heck you are talking about! But you have contributed your view as a great thinker, right? How come that you excuse yourself that you've a language barrier? Isn't English the language of higher learning in Tanzania? Next time do not show up here as a great thinker! Keep your mouth shut and no one will question your ignorance!
 
kwa hiyo wewe kuwa great thinker ni kuandika na kusema kizungu? Tuko gizan sana.
 
Acha ujuaji wewe aliyekuambia higher learning wanatoa certificate za lugha nani??!!
Wewe hujui kuwa tunatofautiana uwezo wa lugha kutokana na fani zetu? ???!!!!!
Yeye yuko poa sana kwa kiswahili kama una hoja weka hapa ueleweka sio kujificha kwenye kichaka cha lugha ya kigeni!!!!!

Jidadavue hapa mpambane kwa hoja sio kuweka quotes za kukariri hapa!!!!!!!
 
kwa hiyo wewe kuwa great thinker ni kuandika na kusema kizungu? Tuko gizan sana.

Mkuu mustakabali wa nchi ambayo watu wengi kisoma na.kuandika tabu linatokea jitu kama hilo kwenye kutafuta mustakabali linajidai halijui kiswahili eti "i dont know what the heck you are talking about" !!!!!!!!!Syeeeeenzi taipu

Jamaa sijui ni wa mlengo wa kati huyu?????!!!
Hovyo kabisa majitu mengine!!!!
 
tutaona mengi mwaka huu,na hapo bado makubwa yanakuja hadi kufikia2015 chama kitakuwa hoi.Dalili ya mvua ni mawingu name wing ndio hilo ndio limeanza kutanda.Adui mwombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa.
 
kama angekuwa ni jk ana nyumba marekani, uingereza, afrika kusini, na dubai, cjui mngesemaje!! maana chadema kwa kujadili watu wengine ndo sera zao. na sasa mnamjadili zito, badala ya kujadili mapato na matumizi ya chama chenu. mkija kushtuka mmetafunwaaaa
Ukweli lakini mchungu
 
Chadema ilishapoteza uaminifu!walaghai tu....tutakumbuka Mwigamba wewe ni shujaa
 
Back
Top Bottom