Ukiwa chomboni huko huko, ebu toa maoni yako, kwanza miss neddy unamfahamu?
Ukimkopehsa si anaendeleza dhuluma........, bora huo mkopo kumpa mtu mwingine
may be yeye anaweza kulipa kwa wakati
Ankal ni kwamba nimemfahamu through Id tu!
Tena si kwa kitambo nyuma! Kwani anao wasifu more specific ?
miss neddy, please badili avatar yako mama......please
ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu
hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply hapa:coffee::bored::coffee::coffee:
Tyta hebu saidia avatar nzuri kwa huyu Miss
ahsante mama! you are the best in here!hahahahahaha hako katoto ni ndugu yako asieijua kesho yake hana mwingine wa kumkomboa isipokuwa mimi na wewe
Excel kagoma bwana naogopa kumuuzi nikibadili
mamii nimerudi... kuna kimburughula ghani kinakuchanganya?
rire panga retu jipya riko wapiii?
huyo Excel kama CCM tu
Nimesikia wanasema eti wewe ni senior bazaz ila sikumbuki ni nani alisema!!
mamii hebu kula kwanza hii kitu!
kula mdogo mdogo!
as long miss neddy loves me... mamii njoo turuke kwanja hapa!
coconut tree!
i will always remember... my queen! miss neddy!
mamii huna haja ya kuogopa! mbona hawa mabazazi wamembeba mzobemzobe angel? we waache tu.. mpaka leo sijui alipo!