Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,706
- 4,759
Asee nipeni ufundi nina iphone 6 plus ipo ios 12.5 ata 13 hainaIos 15 itaingia kwenye 6s na kupanda

ok ila hakuna update ya new version mpaka sasa
labda simu zetu ni fake!!