With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Last edited by a moderator:
ila nitamwambia na kumkarisha chini atulie na wewe tu wifi yangu kwani ndiye mwenye adabu na heshima pale nyumbani na unafaa kuitwa mke wa Erickb52 sio hao wengine anaotuletea home mpaka wanamdharau mama yetu ni wewe tu wa pekee wifi unayetupenda na kutujali
Sante wifi kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:

HBD jombaa!
 
[QUTE=Chocs;6975229]Hivi Erickb52 mnapena nini?

Jana nilikuelewa, leo tena mwapeana!! loool[/QUOTE]

hivi unajua kuwa mi ni wifi yako...... So kuwa makini unapofuatilia maongezi ya wanandugu
 
Last edited by a moderator:
Nami nakushauri u s i m w a c h e m u m e o, mpaka kieleweke. Mtuige sisi, Lady doctor atakupa mbinu za kukabiliana na kina Bishanga, PakaJimmy, Kaizer, Ruttashobolwa na wakware wenzao kina Filipo.
BCC Erickb52.
.
Mkuu,
Ukware mi niliacha baada ya kuona ulivyoumizwa pale Korogwe aisee babaangu!
Nilishuhudia ulivyomgharamia Arabela mavituvitu mengi, nauli, matunda aina ya peas na yale matunda-damu, Kitambaa cha SoSo, na Airtime, lakini baadae, kwa maringo kabisa akaondoka Filipo kuelekea Makorora, na wakaishi kwa siku 4 ndani ya chandarua moja!!!.

Kama marejesho hakujua hili, basi na ajue leo!
 
Acha kiherehere wewe mama kiwowowooo
Mwache akatae yeye eboooooo!
Mbona tunazibiana bila sababu?
Khaaaaaa hebu nitue meeeeen!
sweetlady i lavu yu


Hahahahahaha.... Na wewe hebu mtue cousin wangu meeeeen!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…