mbona nimekutumia pm kwenye email yako mkaka Kaizer hujanijibu?
Heee ladyfurahia sijaiona PM yako hebu cheki labda umemmtumia KakaKiiza ukifikiri ni mimi? LOL
PM zote huwa zinajibiwa....
Nipo sanamkaka kumbe upo Ruttashobolwa eti yule ruttashabani ni nduguyo?
Aisee!
Kwanza, happy besidei dogo Erickb52
Pili, sweetlady hata kunistua mapema? nina wazo, badala ya Asprin kuwa kaka awe tu mjomba "kiishe"......mi nitabaki kuwa kaka, ila hii habari hadi watu wamelewa
Nimemwona Paw kwenye hii sherehe, leo King'asti ujanja wote mfukoni
Naowamba mabinti Arabela na miss strong hebu nisogezeeeni kinywaji nina kiu sana, ndo kwanza natoka Kyela...
hehehe apa sasa unantafutia ugomvi na ndugu yangu Mentor
Unikomeeeee
Nani kakuambia nafikisha miaka 90?
Nina miaka 19 mie usinizeeshe meeeen
hehehe yani una uwezo wa kumkorofisha Mentor?
Walikuwa wamegombana?