Wishing you a holy good friday

Wishing you a holy good friday

Golgotha a.k.a fuvu la kichwa..... Wokovu wetu umepatikana hapo.... Tutende na kuenenda katika wema. Ijumaa kuu njema...... Na muda huu ni wa kuwa kanisani.
 

Attachments

  • 1397828724241.jpg
    1397828724241.jpg
    19.3 KB · Views: 56
Asante sana KOKUTONA. Na ifanyike kwako ya kipekee. Akafufuke na kila tumaini lililofifia kwako, akazidi kufanyika Baba.
Uwe na kipindi chema.

Nawatakieni pasaka njema WANAJAMII WOTE, kila mtu kwa Jina lako. Tafadhali uwe na wakati mwema sana.
God Bless.
Ameeeeen
 
Asante sana Lady doctor nimepokea salam yako...salam ni nusu yakuonana
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu aliingia darasani akiwa tafrani amechoka sana akawataka w'funzi wote wakae kimya kilikuwa ni kipindi cha dini mara usingizi ukamchukuwa pale pale darasani, ghafla mkaguzi akaingia akasimama pembeni kwa yule mwalim. Mara mwalim alizinduka huku akipiga miayo alipotupa macho pembeni alimuona mkaguzi ndipo alipojibabaisha na kuwaambia w'funzi: "Na Hivi ndivyo walivyolala WANAFUNZI wa YESU, walipokua wanamsubiri kule mlimani, Jee kuna mwenye swali"? mkaguzi akapiga makofi na kumsifia kwa kufundisha kwa vitendo.

Nikutakie kwaresma njema mpendwa KOKUTONA. Afu leo sitaki uchokozi wozap kule.

Ha ha haaa babu yangu umenichekesha, nakuja huko sasa hivi....kukusalimu tu lakini. Leo hutaki uhokozi siyo?
 
Thanx Lady doctor...bunge lipo likizo hadi august...urudi sasa. Happy holidays kwako pia.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom