Salamu zangu za pekee Leo ziwaendee mpenzi Wang/ wife to be miss chagga...
Dada zangu DEMBA ... Dinazarde Heaven on Earth Mashaxizo Munkari farkhina na kaka zangu Kiranga Tuko OLESAIDIMU Jerrymsigwa Ntuzu kahtaan Baba V kibogo
Na wadogo zangu Perry Advocate J mbeya yetu miss neddy na mwisho mate wangu wa siku nyingi hapa JF Lunyungu
Haaa siamin mashaxizo ni ke??
Mmmmmh miss chagga nisaidie huyu mutu jinsia yake
Au Acount yake inatumiwa na 2 pipo me/ ke
shangaaa na wewe juzi alikuwa ananipigia misele photos kama me leo nastaajabu anaomba kuwa mchumba wa lusungo
Mi mwenyewe nimeshangaa
miss chagga ni wangu kweliMiss chagga mkeo kweli?heeee mashaxizo iweje nae atake kuwa mchumba wako?tunaunda tume miss neddy mwenyekiti
Waoh thanks sana KOKUTONA nawewe pia uwe na ijumaa kuu njema bila kuwasahau Nicas Mtei mwekundu Rogie miss neddy Mentor Evelyn Salt Madame B lusungo King'ast charming lady Horseshoe Arch Heaven on Earth dah na friends wote miye nawaambia hivi....MUSILE NYAMA LEO wala kugegedana hadi jpiliii!!! Ha ha !!
Eli79 thank u very much.. why cant u pass by tommorowThanx luv, nami nakutakia sikukuu njema, mapumziko mema. Excel, good Friday n happy holidays brother, Chujio wherever you are nakutakia sikukuu njema, my nomer uno Karucee call me for dinner tomorrow evening.. Heaven on Earth, najua siku hii haukuhusu sana ila tusaidiane kupumzika.
Happy Easter holidays to all JF/MMU members.
lusungo kumbe unajua mimi ni dada ako kwanini huwa haunisalimiiSalamu zangu za pekee Leo ziwaendee mpenzi Wang/ wife to be miss chagga...
Dada zangu DEMBA ... Dinazarde Heaven on Earth Mashaxizo Munkari farkhina na kaka zangu Kiranga Tuko OLESAIDIMU Jerrymsigwa Ntuzu kahtaan Baba V kibogo
Na wadogo zangu Perry Advocate J mbeya yetu miss neddy na mwisho mate wangu wa siku nyingi hapa JF Lunyungu
Nawatakia heri na baraka za Pasaka wana JF wote,bila kuwasahau,,kipenzi changu Bantu lady,,kakangu Mokoyo na ICHANA, kiwatengu na shansarie, Excell na miss neddy, uran na Valentina, Kibo10, Lady doctor na Arushaone, Heaven on Earth, Rich Pol, mimi49, Asprin,, Baba V, utafiti, miss chagga, sister, mwallu, Munkari, Mndengereko, mshana jr,,
What is so good about good Friday?
kwetu mtoto wa kike hata ukimzidi umri wamwita dadaa ndo heshima ya kwetu hiyoo ntaanza kukusalimu dada usijali.
asante sana my family member sungura1980Nawatakia heri na baraka za Pasaka wana JF wote,bila kuwasahau,,kipenzi changu Bantu lady,,kakangu Mokoyo na ICHANA, kiwatengu na shansarie, Excell na miss neddy, uran na Valentina, Kibo10, Lady doctor na Arushaone, Heaven on Earth, Rich Pol, mimi49, Asprin,, Baba V, utafiti, miss chagga, sister, mwallu, Munkari, Mndengereko, mshana jr,,