Wishing you a holy good friday

Wishing you a holy good friday

Salamu zangu za pekee Leo ziwaendee mpenzi Wang/ wife to be miss chagga...

Dada zangu DEMBA ... Dinazarde Heaven on Earth Mashaxizo Munkari farkhina na kaka zangu Kiranga Tuko OLESAIDIMU Jerrymsigwa Ntuzu kahtaan Baba V kibogo

Na wadogo zangu Perry Advocate J mbeya yetu miss neddy na mwisho mate wangu wa siku nyingi hapa JF Lunyungu

Hahahahahaaa!
Lusungo bebii mwenzio spendi uniweke katika orodha ya madada zako!
Napenda niwe mchumba wako na huyo miss chagga asikuzuzue mtoe uniweke mimi hapo!
...
Love you soo much Lusungo!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha penzi letu bado bichi jamani miss chagga ni kila kitu kwangu sitaki kumsalitiii
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa!
Lusungo bebii mwenzio spendi uniweke katika orodha ya madada zako!
Napenda niwe mchumba wako na huyo miss chagga asikuzuzue mtoe uniweke mimi hapo!
...
Love you soo much Lusungo!

afu wewe unanichanganyaga
hivi kumbe ni ke eeeeh
 
Senkiyu miss neddy nawatakieni nyote Wana Jf Heri na fanaka Ktk sikukuu hizi!

UPENDO NDIO AMRI ILIYO KUU!

Kwasababu "MUNGU NI UPENDO"

Dahhh....

Naomba nisiongee chochote.. Ila nakutakia heri ya siku kuu hizi tatu muhimu..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom