Wishing you a holy good friday

Wishing you a holy good friday

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,109
Napenda kuwatakia wadau na mmarafiki woote I jima a kuu njema.
Kumbukeni kutafuta AMANI na watu wote na kwamba amri kuu ni UPENDO.

Dark City
babu yangu holy good friday, Mume wangu kipenzi Eli79 Mwanyasi, kyanaKyoMuhaya , Fixed Point, @C6, charminglady Arabela, Ladymasa, Erickb52, BAK, CHUAKACHARA, @YYNNAH, Preta, PakaJimmy, kabanga, kiwatengu, shansarie, Kaizer, KakaKiiza, Arushaone< Mr and Mrs Filipo marejesho, Blaki Womani, Lily Flower, Preta, Maxence Melo, Jiwe Linaloishi, babu yangu Asprin, Mtambuzi, Mkirua, Madame B, amu, @Chocks, gfsonwins, IGWE, liverpoolFC, Mzee wa Rula, AshaDii, Mentor, Zinduna, kabanga, TANMO, Boflo, Nicas Mtei, The Boss, Mamndenyi, snowhite, BHULULU, janeth1, DEMBA, Valentina, Excel, Washawasha, Blue G, sweetlady, Lady doctor, Heaven on Earth wewe tukutane jumamosi saa 10 jioni, Eiyer, Karucee, Slave, Mr Rocky, Mwita Maranya, watu8, miss neddy, Ruttashobolwa, Mutta, Passion Lady, nitonye, Munkari, Baba V, Chimbuvu, judgement, Smile, Tized, Tuko, sosoliso, Paloma, Nivea, Fidel80, Vin Diesel, Ennie, mzabzab,

Na wooote kabisa, nawapenda sana eee

Tupia pia wishes zako kwa wapendwa wako hapa......
 
Last edited by a moderator:
Thanks dear KOKUTONA... Na wewe nakutakia kila la heri... furaha na amani msimu huu wa sikukuu...
 
Last edited by a moderator:
Na kwako pia KOKUTONA.. Iwe ni muda wa furaha na amani kwako na kwa familia yako...
 
Last edited by a moderator:
Asante sana KOKUTONA. Na ifanyike kwako ya kipekee. Akafufuke na kila tumaini lililofifia kwako, akazidi kufanyika Baba.
Uwe na kipindi chema.

Nawatakieni pasaka njema WANAJAMII WOTE, kila mtu kwa Jina lako. Tafadhali uwe na wakati mwema sana.
God Bless.
 
Amen to Tized na KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
Naam KRISTO alijinyenyekeza akawa mtii mpaka kufa MSALABANI ili mimi na wewe tuokolewe ktoka kwenye utumwa dhambi.NA IWE NJEMA KWAKO NDUGU IJUMAA KUU.
 
ahsante KOKUTONA na wewe pia nakurudishia heri na baraka ijumaa hii njema dear
lakini usisahau pasaka yenyewe lol
 
Last edited by a moderator:
ahsante KOKUTONA na wewe pia nakurudishia heri na baraka ijumaa hii njema dear
lakini usisahau pasaka yenyewe lol
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Yesu kateseka kwa ajili ya dhambi zetu tuzid kumwomba afufuke na sisi katika maisha yetu
Nawatakie wote ijuma Kuu njema na kujiandaa kwa ufufuko wake Yesu Ktisto
 
Excel my king nakutakia ijumaa njema heri na fanaka zimiminike kwako msimu huu wa sikukuu
ijumaa njema pia kwa OLESAIDIMU
utafiti miss chagga Chocs ICHANA Mndengereko Mashaxizo venine mwallu Ntuzu Evelyn Salt Honey Faith TATIANA Jerrymsigwa Arushaone and Lady doctor @ tized
Senkyuuuuu miss Nedy ImageUploadedByJamiiForums1397792751.267912.jpg
Miss
 
Last edited by a moderator:
Napenda kuwatakia wadau na mmarafiki woote I jima a kuu njema.
Kumbukeni kutafuta AMANI na watu wote na kwamba amri kuu ni UPENDO.

Dark City
babu yangu holy good friday, Mume wangu kipenzi Eli79 Mwanyasi, kyanaKyoMuhaya , Fixed Point, @C6, charminglady Arabela, Ladymasa, Erickb52, BAK, CHUAKACHARA, @YYNNAH, Preta, PakaJimmy, kabanga, kiwatengu, shansarie, Kaizer, KakaKiiza, Arushaone< Mr and Mrs Filipo marejesho, Blaki Womani, Lily Flower, Preta, Maxence Melo, Jiwe Linaloishi, babu yangu Asprin, Mtambuzi, Mkirua, Madame B, amu, @Chocks, gfsonwins, IGWE, liverpoolFC, Mzee wa Rula, AshaDii, Mentor, Zinduna, kabanga, TANMO, Boflo, Nicas Mtei, The Boss, Mamndenyi, snowhite, BHULULU, janeth1, DEMBA, Valentina, Excel, Washawasha, Blue G, sweetlady, Lady doctor, Heaven on Earth wewe tukutane jumamosi saa 10 jioni, Eiyer, Karucee, Slave, Mr Rocky, Mwita Maranya, watu8, miss neddy, Ruttashobolwa, Mutta, Passion Lady, nitonye, Munkari, Baba V, Chimbuvu, judgement, Smile, Tized, Tuko, sosoliso, Paloma, Nivea, Fidel80, Vin Diesel, Ennie, mzabzab,

Na wooote kabisa, nawapenda sana eee

Tupia pia wishes zako kwa wapendwa wako hapa......

Barikiwa mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom