Wishing you a Happy Easter 🐣

Barabaraa.. Nitumie fursa hii pia kuwakaribisha nyumbani kwangu wana JF mliopo Jijini Dodoma. Eneo la Ilazo Kabla ya kufika Martin Luther. Heri ya pasaka
 
Thanks kabinti nawakaribisha kilimani baada ya idara ya maji kuna white house ina maua. Karibu ila sipo mtakuta mlinzi. hahahhahaha, Mtaewa matunda mweeee.
 
Mimi na familia yangu tunawatakia heri ya kufufuka kwa bwana yesu(pasaka).Mungu awe nanyi na akafufuke katika mipango yenu mizuri na azizike hila zote za shetani dhidi yenu,m`barikiwe sanaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…