Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Hafu Sweetlady hujanitendea haki, mie ndo Nilitakiwa unipe jukumu la kumwogesha mtoto, mie ndo bi mkubwa baada ya Amyner kula kona.

Hahahaha Remmy bana lol.....usijali wewe utaendelea kumuogesha kitovu kikikatika !
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Brother
Siku yako hii ikawe ya baraka na rehema na ubarikiwe kuishi maisha marefu yenye furaha na amani.
Mungu akujalie siku zako zikawe za heri uishi kuona kile ambacho Mungu amepanga katika maisha yako miaka yako ikawe kama ya Ibrahim yenye baraka tele.
Happy Birthday once again brother

sweetlady kazi yangu nishafanya na tutakuja baadae na my wife wangu@yummy kushangilia na kupata ulaji
Ila Erickb52 aangalie sana asimalize cake mapema
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday


:A S-heart-2:
:A S 465: Happy birthday :A S 465:



VINYWAJI watakuwepo hawa wafuatao: Asprin , Kaizer, PakaJimmy, Preta na Blaki Womani ( PJ atakuwa msimamizi kwenye hili kundi )
sIWAAMINI KABISA HAWA WABABA WAWILI NILIOPANGIWA NAO!..Wadada sina shida nao!
Naomba sana nibadilishiwe, maana hawa wataathiri sana stock ya KONYAGI!
Nilifanya nao shughuli pale Mabwepande walivuruga sherehe, maana walisababisha wanywaji wa KONYAGI waondoke wakavu!
Naomba mleta mada fikiria upya, weka wengine wowote, lakini si hao wawili!
Tujali majaliwa na haki ya wanywa KONYAGI wengineo bana...khaaaa!
 
Asante sana kiongozi!
Kuhusu keki usijali Mr Rocky ntakula kidogo then ntahamia kwenye juice then baadae wakishaniogesha ntahamia kwenye kingine(Ndofu)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaa PakaJimmy usijali hawa jamaa wakishajidunga kama masaa mawili huwa wanapoteza network so hutakuwa na shida nao we waache wafakamie then inakula kwao muda si mrefu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! FYI nshamkagua kwa ile ID nyingine....... STUKA!!! Baada ya ukaguzi nikamwambia abadili ID ili apekuliwe na vijana wangu. Si unajua tena vijana wakishajua nimekagua wanaogopa kupekua?


Hahhahahaha lol ....haya maneno hapa hayaruhusiwi mtoto atajifunza tabia mbaya!
 
Kaka unamwaga kuku kwenye mchele kiduchu? Mi nadhani hii kamati imekamilika sema tu watuonngezee binti mmoja ili tukizidiwa vigezo na masharti vizingatiwe....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…