wise husband

hahaaaaaaaaaaa nimechekaje

ko husband anataka waje warekebishe dirisha wife ajirushe kwa uzuri tu
 
si wanawake bana,hapo hana lolote anataka husband ambembeleze

na maneno matam tu...hakuna cha kujirusha wala nini
 
Bila shaka hii ilikuwa ni mbinu tu ya kuhitaji msaada baada ya kupewa majibu yasiyoridhisha kwa bi dada wa reception
 
Akifanya hiyo atakua accessory to murder mkuu. Bora Wife ajifungulie dirisha na kujirusha mwenyeweeeee!
ngoja tuendelee kusubiri tuone kama ataweza kufanya hivyo.
Nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…