hahaaaaaaaaaaa nimechekaje
ko husband anataka waje warekebishe dirisha wife ajirushe kwa uzuri tu
ndo manake ...
Ww si ulijifanya mjanja? Dawa yako ndo hiyo tu Heaven on Earth
si wanawake bana,hapo hana lolote anataka husband ambembeleze
na maneno matam tu...hakuna cha kujirusha wala nini
sasa si walivunje tu hilo dirisha.
Nalog off
ngoja tuendelee kusubiri tuone kama ataweza kufanya hivyo.Akifanya hiyo atakua accessory to murder mkuu. Bora Wife ajifungulie dirisha na kujirusha mwenyeweeeee!