Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

unaongelea wireless wakati magari yanaishiwa mafuta kabla ya mwisho wa kituo!!! na nchi nzima haina broadband, maisha ya ulaya usiyalete bongo. kuna mambo ya msingi tunatakiwa kufanya kwanza kabla ya wireless e.g stable power
 
Mkuu mabadiliko huanza taratibu usipinge kila kitu..
 
Kwa uzoefu wangu wa kutumia internet pindi niwapo safarini huwa naambulia unreliable EDGE, sasa hayo mabasi ndo yatatumia miundo mbinu hiyo hiyo? hii itakuwa ngumu kwakweli kwasababu:
  • ISP wetu hawa wapigaji hawawezi kufunga mitambo ya 3G na generation zifatazo huko maporini ambapo itawalazimu kutegemea wateja wachache wa mabasi yapitayo kwa hiyo itakuwa hasara kwao.
 
Isamilo wanayo wi-fi kama ww ni msafiri wa Dar Mwanza jaribu utajionea mwenyewe,kwa sasa wamekamata sana soko la hii njia maana wanafunzi wa SAUT wanaligombania kama pipi hilo bus
 
Back
Top Bottom