Kuna bus inaitwa Modern, inafanya kazi kati ya Mombasa, Tanga hadi Dar, ina Wi-Fi.
Ni jambo linalowezekana kabisa. Labda demand haijawa kubwa kiasi cha kuwafanya wamiliki watumie hiyo fursa kuvutia abiria.
Ndiyo maana mabasi yenye AC kwa siku za karibuni yamevutia sana wateja.
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.
Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?
nimeona UK,mabasi ya safari ndefu yana huduma ya free Wi-Fi,yana socket za kuchajia sim,tablets,laptops nk.Kwenye nauli yako wame include na Wi-Fi charges,hata bongo ina wezekana wakiamua
we vipi mbona unacomment mara kumi kumi???kenya wanatumia kwenye matatu. sisi kwa nini tushindwe?
nimeona UK,mabasi ya safari ndefu yana huduma ya free Wi-Fi,yana socket za kuchajia sim,tablets,laptops nk.Kwenye nauli yako wame include na Wi-Fi charges,hata bongo ina wezekana wakiamua
Last week kuna basi nilipanda toka Dom - Dar lina hii kitu, kila kwenye siti kuna sehemu ya kuchajia simu.Kama inawekana basi wasisahau na kila siti
kuweka sehemu ya kuchajia simu.
Huyu atakuwa anatumia Dell Latitude D610 kitu cha kuganda KRAPKA DAVIOOOOOOOOO!!!!!!we vipi mbona unacomment mara kumi kumi???
ungesema bajaj ningekuelewa,boda 2 nasema nokuna baadhi ya bodaboda kijiji kwetu zina wi fi ni kula jf kwa speed ya hatari