wireless electricity is coming to your sebule

Sasa mpango wa kuwa cooked maini na mafigo yetu.
 
Yaani full mionzi,i dont like too many wireless coz mionzi are passby to to directrly to u.
 
hiki katekinolojia kinatumia electomagnetic frequency hizo hazina radiation hayo ndo mambo ya kwenda green halafuu hii kitu yaweza ungwa mojakwa moja umeme wa jua halafu vitu vikakolea hata tanesco wakipiga mgao bado waweza kuendelea kuwa na kiumeme kwa vitu vichache.
 
Hii iletwe tu bongo kwa majaribio!!
 
Hii iletwe tu bongo kwa majaribio!!
labda baada ya miaka minne au nane ijayo wachina wakianza kuichakachua kwa bei raisi tutafaidi.
 
Kaka wiring ipo pale pale, na cdhan hyn wireless kama wanaweza implement kwa vifaa vnavyo2mia ~230v na zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…